Zambia: Mpinzani wa Hichilema ashikiliwa kwa tuhuma za uhaini

Kazi kweli kweli.
 
"African nations are shithole" - Trump 2018
 
Kama mtu ulikua unajiuliza kwanini Hichilema alikuja kwenye uapisho wa Chamwino licha ya madoa makubwa kama yale, hapa sasa utakua umepata majibu
 
Inawezekana Afrika kuna changamoto kubwa katika utafsiri wa sheria, kipindi kile kule US, Trump aliposhindwa na kufanya vurugu, alipewa tuhuma zipi?
 
Hichilema naye alikuwa mpinzani sasa amebadilisha nini jamani? Hopeless kabisa hizi za kiafrika!


Wapinzani wakija kuongoza nawao wanafanya yaleyale kama chama Tawala

Ndiomana wengine tunaamini kwasasa Upinzani ktka Africa ni upumbavu zaidi bora Chama Tawala kiendelea kutatua changamoto za msingi kwanza
Baadae tutakuja
nasisi kuwa Ulaya 👈

Uko Ulaya
Vyama vingi vipo lkn tofauti
nasisi
Wao wenzetu wagombea wao hawaombi kura kwa kuahidi kujenga Shule Hospital Barabara Maji nk

Mana vyote ivyo kwao tayali Vipo

Kuomba kura kwao wapo kwenye kutunza mazingira kupigania haki za vikundi vidogo dogo

Wenzetu wako uko!!!

Sisi Africa
Mpinzani kwetu jimboni kwako Mbunge anakuomba kura kukujengea Barabara Hospital
Mwisho mnamwamini
mnaamuunga mkono sasa akienda Bungeni
Kwenye Bajeti anatoka ukumbini wa Bunge❗️
kupinga Bajeti ya Serikali kuu

Wkt uho uho kule kawaahidi Jimboni maendeleo
Sasa ayo maendeleo yatotokea wapi kwa mfano????

WAZUNGU wametuvisha nguo ya Upinzani kwa lazima lkn malengo yao ni kutugawanya watutawale kwa mfumo wa kibaraka miongoni mwetu👈

Wanajua ni ngumu kuendesha Upinzani Africa✍️
 
Mfano Mh Lissu uyu mwenyewe anakiri anatembea na maumivu makubwa ukiwaacha ile risasi mwilini

Sasa kiongozi kama uyu tayali anamejerahaa makubwa kichwani kwake!!

Sasa matatizo yanadhidi zaidi baadhi ya Wananchi mitazamo yao
Kiongozi kama uyu kwao wanamuona ndio mpinzani wake kweli🤔🤔

Kiongozi akiwa hana majeraha kwao uyo pandikizi sio wakumwamini
Mbona hapati kashkashi za
Mapolisi 🤠🤠

Sasa kumbe napo kuchagua kiongozi wa Upinzani mwenye majeraha ni kumpa nafasi uyo Binadamu kulipiza kisasi
Lkn
Maendeleo msahau
kabisa ❌️
Demokrasia msahau
kabisa❌️

lkn picha la kulipiza kisasi ilo mtafanikiwa kuliona kama ndio lengo lenu✍️
 
Embu waza ktk Africa yoto nchi ya kwanza kufanikiwa Upinzani kukishinda chama Tawala ni Zambia iyo iyo

Frederick Chiluba akipomshinda Kenneth Kaunda
Kwakq 1991 akatawala vipindi viwili mpaka 2002
Lkn Katiba yao mwisho ni vipindi viwili kama Katiba ya kwetu

Lkn Chiluba uyo uyo kafanya juhudi kubadilisha Katiba ili agombee tena Urais kwa ×3

Mtu wa kwanza kumpinga alikuwa Makamu wake Rais 👈

Kutokea miaka ile ya 1991 kufikia leo uko Zambia ni Wapinzani kwa Wapinzani ndio wanatawala❗️

lkn Zambia bado ni ile ile majanga yapo pale pale Umasikini upo pale pale na Demokrasia ndio iyo mnasikia uko Zambia
Watoto wetu walikufa Mo29

lkn Watoto wa mh Lissu wapo Marekani wanasoma wakiwa Salama kabisa kazi kwenu Wadanganyika✍️
 
Huyu Hichilema ndio alijifanya anatoa usia kwa Samia wakati ule anaapishwa kwamba Waafrika wanasiasa wapendane na kuzingatia umoja wa kitaifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…