Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

Picha yake tafadhali
 
Nimepiga hesa kila mwezi alikuwa na mwanaume mpya mmoja wawili au zaidi,miaka minne ina miezi 48 yeye katembea na wanaume 52,kazi iendelee wanawake wanaweza.
 
Hana akili na revenge zake za kipuuzi.
Ana akili sana, kwanini Mtu aendekeze uzinzi na uasherati [emoji848]

Kwanini Mtu asichukue vipimo vya afya na huyo Binti kabla hajajihusisha naye kimapenzi [emoji848]

Kamlazimisha nani kuwa naye katika mahusiano ya mapenzi [emoji848]

WARUMI 6:23.

"Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."

1 WAKORINTHO 6:18.

"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe."

Mwana kulitafuta, mwana kulipata [emoji847]
 
Kabisa...mwanadamu anapewa muongozo wa jinsi ya kuishi lakini kwa kujidai mjuaji anafanya anayoyakua yeye mwishoe akipata ngoma anaanza kulalamika🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa...mwanadamu anapewa muongozo wa jinsi ya kuishi lakini kwa kujidai mjuaji anafanya anayoyakua yeye mwishoe akipata ngoma anaanza kulalamika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ndiyo unayakuta kule kwenye uzi wa "kula kimasihara" yakipambana kutunga stori za vijiweni na kuongeza chumvi ilimradi yaonekane majanja kumbe mwisho wa siku ni kujutafutia tu kufa mapema [emoji23]

Mithali 16:25

"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu;
Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…