Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

😂😂😂😂Walokole bwana....kwa hiyo umefurahi sio?
 
She's crazy, Christ will never do anything for her. She needs to ask herself, when was the last time Christ came to people's aide? Pope in Rome has been praying to him to end the war in Ukraine, end famine in East Africa but he choses to ignore that call. My dear Africans please wake up, never believe in Christianity or Islam for they are man made religions.
 
Kwa hiyo wewe hautakufa kwa vile Ni mtakatifu au sio?
 
Si walijipeleka wenyewe Acha waambukizwe tu!!
 
Si walijipeleka wenyewe Acha waambukizwe tu!!
 
Ila jamani ile mbususu tamuu sana
 
Kwa hiyo wewe hautakufa kwa vile Ni mtakatifu au sio?
Ndivyo utavyojitetea mahakamani hivi kuwa "Mbona we mwenyewe hakimu ni mzinzi, kwanini nihukumiwe mimi tu kwa sababu ya kutembea na Mwanafunzi"

Utalambwa hukumu kama kawaida [emoji848][emoji12]

Pambaneni na hali zenu [emoji16]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Utakufa tu..hata ukifurahia vifo vya wenzio
 
Utakufa tu..hata ukifurahia vifo vya wenzio
Kufa ni wajibu lakini dhambi ya makusudi isiwe kichocheo cha mimi kufa kwa maisha niliyojichagulia mwenyewe kisha nikataka huruma za kusikitikiwa na kila Mtu. Sababu wakati naenda kuitenda hiyo dhambi nilishajua kabisa matokeo yake yakoje.

Itoshe tu kusema kila Mtu aubebe msalaba wake mwenyewe.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…