Zambia: Ofisi za chama cha Edgar Lungu cha PF zaanza kushambuliwa na wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .

Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini wa kutisha nchini humo , enzi zake kama Rais wa Zambia zinaelekea ukingoni .

1898133_20180906_175821.png

Mambo za kuchoma Moto Ni uhuni na ujambazi washughulikiwe ipasavyo.

Sasa wakifanya hivyo Wana tofauti gani na majambazi wa hicho chama tawala kinachotoka madarakani?
 
Kumbe hii picha ndio ilimuhusu huyu mzee, asimtafute mchawi, alijitakia.
 
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .

Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini wa kutisha nchini humo enzi zake kama Rais wa Zambia zinaelekea ukingoni .

View attachment 1893394
View attachment 1893397
Hii ya kushambuli ofisi may be na wafuasi watafuatia siiungi mkono hata kidogo. TUNAMKOSOA SAMIA KWA KUMUONEA MBOWE, kutofuata katiba, sheria etc. wasifanye hivyo. wASUBIR KILA ALIYEVUNJA SHERIA, KUUA, KUTEKA, KUPOTEZA AFIKISHWE MBELE YA SHERIA BILA UONEVU
 
Hii ya kushambuli ofisi may be na wafuasi watafuatia siiungi mkono hata kidogo. TUNAQMKOSOA sAMIA KWA kumunea mbowe, kutofuata katiba, sheria etc. wasifanye hivyo
Naunga mkono hoja
 
Hao ni waj
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .

Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa kupenda kuabudiwa kama walivyo Marais wengi duni wa Nchi za kiafrika, anayesifika kwa kuleta umasikini wa kutisha nchini humo , enzi zake kama Rais wa Zambia zinaelekea ukingoni .

View attachment 1893394
View attachment 1893397
Hao ni wahuni kama wa chadema
 
very sad, sisis CDM hatutafanya hivi!
 
Nyie wapinzani acheni kulalamikia tume huru, nyie wenyewe mna agenda zisizoeleweka ndio maana wananchi wanaona ni bora wakaendelea na CCM kuliko kukabidhi nchi kwa wapinzani wasiojielewa.

Zambia ipo Tume huru,tofauti na Tume ya CCM.
 
Back
Top Bottom