Zambia: Ofisi za chama cha Edgar Lungu cha PF zaanza kushambuliwa na wananchi

Zambia: Ofisi za chama cha Edgar Lungu cha PF zaanza kushambuliwa na wananchi

Mambo za kuchoma Moto Ni uhuni na ujambazi washughulikiwe ipasavyo.

Sasa wakifanya hivyo Wana tofauti gani na majambazi wa hicho chama tawala kinachotoka madarakani?
Hasira hizo, mbona Kaunda aliondoka kiustaarabu kabisa na hakukufanyika fujo.
 
Back
Top Bottom