Zambia: Rais Hichilema amenuia kuondoa Sheria inayozuia kumtusi Rais

Zambia: Rais Hichilema amenuia kuondoa Sheria inayozuia kumtusi Rais

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika

Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo Wanaharakati wa Upinzani, wamekamatwa na kushtakiwa kwa kuvunja Sheria hiyo wakati wa Mwaka wa Kwanza wa Rais Hichilema Madarakani

...................................

Zambian President Hakainde Hichilema has told the BBC he will push for the scrapping of a controversial law that criminalises insulting the president.

It follows an outcry from rights groups who say about a dozen people, including opposition activists, have been arrested and charged for breaking the law during President Hichilema’s first year in office.

Mr Hichilema pledged a break from the past when he took office last year. His successes included halving inflation, receiving a billion-dollar IMF bailout and introducing lower taxes and free education.

But critics say despite an election promise to do so, the government has been slow to abolish the colonial-era insult law often used to silence critics.

Mr Hichilema told the BBC that the law will be repealed, but until that time, it would continue to apply.

"There's a law there. The first thing amongst the key things we said we would do, is restore the rule of law.

"That law is one of those that we've isolated that has to be reformed and is going through due process. Before it is reformed, it is a law and it will apply," he said.

Source: BBC
 
Kumtusi Rais ni makosa, Ila kukataa na kuyasema matendo yake ni sahihi kabisa!
 
Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika

Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo Wanaharakati wa Upinzani, wamekamatwa na kushtakiwa kwa kuvunja Sheria hiyo wakati wa Mwaka wa Kwanza wa Rais Hichilema Madarakani
Tumgawie RC mmoja kutoka kanda ya ziwa akalisimamie hilo
 
Asifute aiache, binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Matusi kwa mtu yeyote yule ni kosa, sembuse rais!!?
 
Back
Top Bottom