Hebu tusaidie hao watu waliotaka kulima wakanyang'anywa mashamba yao ni akina nani?!
Pili utwambie hao watu walikaa nayo hayo mashamba kwa kipindi gani hadi kufikia kunyang'anywa!
Tatu kama unajua masuala haya twambie baada ya hao unaosema walinyang'anywa, hayo mashamba sasa hivi yanafanya nini?!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Mimi mwenyewe ifakara baada
sumaye
lowassa
arusha wahindi walikuwa wanalima ngano wamekua wakuchomewa kila siku mwisho wakaambiwa waache wazawa wanataka nchi yao
sasa hivi wanakula ngombe
huko huko arusha muingereza Sarah ...ametuandika sana kwenye mitandao na europe
kuna wengine huko arusha wafugaji wakiambiwa makusudi waingize ngombe shambani kwake..
alipo amua kuweka senyenge na dawa wasije ikawa ndo mwisho
wakulima kila siku wako frusted na wafugaji mwisho wanaacha
majuzi lukuvi kataifusha mashamba kisa hayana kitu....kumbe yapo katika matayarisho ya mikopo kuanza commercial farming.
the bottom line tunayo ardhi hatuitumii ..fursa hizi kenya sio za kwenda zambia....let us wake up. Tuchangamkie fursa hizi...
tuwe na policy madhubuti za kilimo
jee tunalima kujilisha tu ? Au tunataka kuingiza mapato ?
Jkt wana mashamba kibao yapo pori
lukuvi anataifisha mashamba makubwa halafu anagawa eka moja moja kwa vijiji...kweli tutafika
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app