Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe updates vipi mwamba wa Lusaka anaupiga mwingi au ni underdog huko kwao??Zambia anaongoza kwa goli moja lakini ni bonge la game!
Zambia ili aende Misri lazima ashinde ilhali Namibia yake sare tu na atasonga.
Sasa balaa linaendelea.
Hana jipya huyo lege lege!Tupe updates vipi mwamba wa Lusaka anaupiga mwingi au ni underdog huko kwao??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache kidogo...
Sisi huku bado tunajiuliza na kubishana kwanini jezi ya taifa iwekwe nembo ya msalaba na siyo mwezi au hirizi na tunguli?
Till tomorrow kama hatukupata jibu sahihi mechi itachezwa na kushangiliwa na watu 22 tu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk