Zambia vs Namibia bonge la game Super Sport 9.

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Zambia anaongoza kwa goli moja lakini ni bonge la game!

Zambia ili aende Misri lazima ashinde ilhali Namibia yake sare tu na atasonga.

Sasa balaa linaendelea.
 
Tuache kidogo...

Sisi huku bado tunajiuliza na kubishana kwanini jezi ya taifa iwekwe nembo ya msalaba na siyo mwezi au hirizi na tunguli?

Till tomorrow kama hatukupata jibu sahihi mechi itachezwa na kushangiliwa na watu 22 tu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mko wangapi na mko wapi?
 
Back
Top Bottom