Zambia wananchi wapanga foleni kununua unga. Inasikitisha sana

Zambia wananchi wapanga foleni kununua unga. Inasikitisha sana

Kwa hiyo ukosefu wa mahindi Zambia, ndio inahalalisha waTz kununua mahindi kwa 2000 kilo!? Au ndio inamaanisha ubora wa Samia( huyu wa kila mtu ale urefu wa kamba) juu ya Hichilema!? Sometimes mfiche upumbavu wenu Aisee. Mnajidhalilisha sana kama machoko.
Dada JayJay wakati mwingine tumia lugha yenye staha.
 
Back
Top Bottom