Zambian President Edgar Lungu rushed to hospital after collapsing in capital

Zambian President Edgar Lungu rushed to hospital after collapsing in capital

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,459
B_lx-F8WYAE1_ZO.jpg

Zambian president rushed to hospital after collapse

Zambia's President Edgar Lungu collapsed on the podium while presiding over a Women's Day celebration in Lusaka - less than two months after taking over from a leader who died in office.

Lungu was rushed to a military hospital on Sunday, but the president's office later issued a statement saying he had been treated for malaria and there was no need for concern.

"I am feeling much better and have been told I have high levels of fatigue and should take some rest," Lungu said in the statement.

"There is nothing to worry about."

Lungu came to power in January after the death in office of President Michael Sata in October.

Rumours that Sata was ill had circulated widely before his death, but were always denied by the government.

Sata was Zambia's second leader to die in office in six years, sparking calls for presidential aspirants to undergo medical checks to guarantee they are fit.

Lungu, who fell after standing for some 20 minutes during the ceremony, is rumoured to have diabetes, the AFP news agency reported.

Presidential spokesman Amos Chanda said doctors at the military hospital had conducted comprehensive medical checks and said Lungu's results were good.

Source: AFP
 
wawe wanachagua vijana hawa nao,wazee wameshachoka,mtu tangu 1940 yupo mpaka leo halafu unampa majukumu mazito kama urais
 
Ni somo kwa wa-tz .... Oct tuzingatie umri na afya ya mgombea.... Plz.
 
Ni somo kwa wa-tz .... Oct tuzingatie umri na afya ya mgombea.... Plz.

Yule aliye anguka mara 3 kwenye kampeni mbona kamaliza muda wake. Kwani alikuwa mzee? Jamani acheni kufuru zenu mnatukana uzee na huku ndo mwaja? Jana tu si kama leo, uzee huongezeka kila baada ya leo. Msikufuru
 
Wamesahau kuwa hujafa hujaumbika.
 
Kuna kitu maana inatisha, mwishowe wataogopa kuwa marais au wajichunguze
 
​wazambia wanapenda sana wazee hawajajifunza tu kwa marehemu Sata
 
B_lx-F8WYAE1_ZO.jpg

Zambian president rushed to hospital after collapse

Zambia's President Edgar Lungu collapsed on the podium while presiding over a Women's Day celebration in Lusaka - less than two months after taking over from a leader who died in office.

Lungu was rushed to a military hospital on Sunday, but the president's office later issued a statement saying he had been treated for malaria and there was no need for concern.

"I am feeling much better and have been told I have high levels of fatigue and should take some rest," Lungu said in the statement.

"There is nothing to worry about."

Lungu came to power in January after the death in office of President Michael Sata in October.

Rumours that Sata was ill had circulated widely before his death, but were always denied by the government.

Sata was Zambia's second leader to die in office in six years, sparking calls for presidential aspirants to undergo medical checks to guarantee they are fit.

Lungu, who fell after standing for some 20 minutes during the ceremony, is rumoured to have diabetes, the AFP news agency reported.

Presidential spokesman Amos Chanda said doctors at the military hospital had conducted comprehensive medical checks and said Lungu's results were good.

Source: AFP
Zambia ina bahati mbaya kuwa na marais wagonjwa ambao hufia Ikulu...
 
Rais mpya wa Zambia,Edga Lungu,ameanguka wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani jana. Lungu amemrithi Sata aliyefariki akiwa madarakani. Rais Lungu anatarajiwa kufanyiwa operesheni.

Tunajifunza nini?

Chanzo: EA Radio
 
Sijifunzi chochote ila naonelea kuwa viongozi wapime afya zao kabla ya kuingia madarakani!
 
Rais mpya wa Zambia,Edga Lungu,ameanguka wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani jana. Lungu amemrithi Sata aliyefariki akiwa madarakani. Rais Lungu anatarajiwa kufanyiwa operesheni.

Tunajifunza nini?

Chanzo: EA Radio
Sijifunzi chochote maana hata JK alianguka wakati wa kampeni lakini yuko ngangali
 
Hiki kiti cha urais Zambia ni sawa na kufuata kifo
 
tatizo la wazambia wanakula chakula cha aina moja tangu wanazaliwa mpk wanakufa ambacho ni nsima huku kwe2 tunaita ugali ndyo maana hawaishi kuumwa kila siku
 
Rais mpya wa Zambia,Edga Lungu,ameanguka wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani jana. Lungu amemrithi Sata aliyefariki akiwa madarakani. Rais Lungu anatarajiwa kufanyiwa operesheni.

Tunajifunza nini?

Chanzo: EA Radio

Mwanawasa suffered a stroke in June 2008 that led to his eventual death on Aug. 19, 2008. Thereafter, President Michael Sata, who was nicknamed "King Cobra" for his fiery comebacks and larger-than-life personality died.

NOW, President Lungu is ..........
 
Nachojifunza hapo nikuepuka kuwaweka wazee madarakani hasa urais nahofia yaweza tokea tz ikiwa ukawa watamsimamisha dr.slaa naakashinda inaweza kutokea mana mzee anaonekana dhaifu na mgonjwa
 
Ni majonzi tena kwa wazambia, yaendelea kukumbwa na mikosi ya kuuguliwa na Marais. Safari hii rais aliyeingia madarakani baada ya kifo cha bwana Sata, ndugu Edigar Lungu aneanguka jana na sasa madaktari wanashauri apumzike huku akisubiri kufwanyiwa operation ya koo. Inasadikiwa kuwa anakensa!!

Kwenye mitandao ya kijamii wazambia wamekuwa wakikilaumu chama tawala na wanaharakati kwa kuharakisha uchaguzi ili kumuuondoa Kaimu raisi mwenye asili ya Mzungu kwani ni bora angeendelea tofauti na hali ilivyo sasa ambapo kama Sata, Lungu naye atafunga ofisi kujiuguza.

Leo kiongozi mmoja wa upinzani aliyevujisha siri za ugojwa wa Lungu wakati wa kampeni na kuambulia kuwa adui wa taifa hilo alikaririwa redioni akisema na kuwakumbusha wazambia walivyomzomea alipotaka Lungu akapimwe afya, anasema; "Niliwaambia mapema kuwa Edigar Lungu ni mgojwa apimwe na hafai kuwa rais maana atalitia hasara taifa hamkusikia!! leo mnainamisha vichwa chini ni unafiki tuu. Haikuwepo sababu yeyote ya kumfukuza mzungu aliyezaliwa hapa ili mgonjwa awe rais, huu ni ubaguzi wa rangi tuu na unafiki wa wanasiasa wabinafsi"

Jamaa aliendelea kukejeli "oneni sasa ameenda kuanguka mbele ya kinamama" Ikumbukwe alianguka wakati akihutubia sikuku ya wanawake duniani ilifanyika kitaifa huko Lusaka. Lungu atalazimika kupumzika kwa muda kisha atasafirishwa nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
 
Back
Top Bottom