THE MOLE HUNTER
Member
- Mar 9, 2015
- 65
- 84
video???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni majonzi tena kwa wazambia, yaendelea kukumbwa na mikosi ya kuuguliwa na Marais. Safari hii rais aliyeingia madarakani baada ya kifo cha bwana Sata, ndugu Edigar Lungu aneanguka jana na sasa madaktari wanashauri apumzike huku akisubiri kufwanyiwa operation ya koo. Inasadikiwa kuwa anakensa!!
Kwenye mitandao ya kijamii wazambia wamekuwa wakikilaumu chama tawala na wanaharakati kwa kuharakisha uchaguzi ili kumuuondoa Kaimu raisi mwenye asili ya Mzungu kwani ni bora angeendelea tofauti na hali ilivyo sasa ambapo kama Sata, Lungu naye atafunga ofisi kujiuguza.
Leo kiongozi mmoja wa upinzani aliyevujisha siri za ugojwa wa Lungu wakati wa kampeni na kuambulia kuwa adui wa taifa hilo alikaririwa redioni akisema na kuwakumbusha wazambia walivyomzomea alipotaka Lungu akapimwe afya, anasema; "Niliwaambia mapema kuwa Edigar Lungu ni mgojwa apimwe na hafai kuwa rais maana atalitia hasara taifa hamkusikia!! leo mnainamisha vichwa chini ni unafiki tuu. Haikuwepo sababu yeyote ya kumfukuza mzungu aliyezaliwa hapa ili mgonjwa awe rais, huu ni ubaguzi wa rangi tuu na unafiki wa wanasiasa wabinafsi"
Jamaa aliendelea kukejeli "oneni sasa ameenda kuanguka mbele ya kinamama" Ikumbukwe alianguka wakati akihutubia sikuku ya wanawake duniani ilifanyika kitaifa huko Lusaka. Lungu atalazimika kupumzika kwa muda kisha atasafirishwa nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Na sisi inabidi wagombea wetu wapimwe si upinzani wala chama tawala!
![]()
Zambian president rushed to hospital after collapse
Zambia's President Edgar Lungu collapsed on the podium while presiding over a Women's Day celebration in Lusaka - less than two months after taking over from a leader who died in office.
Lungu was rushed to a military hospital on Sunday, but the president's office later issued a statement saying he had been treated for malaria and there was no need for concern.
"I am feeling much better and have been told I have high levels of fatigue and should take some rest," Lungu said in the statement.
"There is nothing to worry about."
Lungu came to power in January after the death in office of President Michael Sata in October.
Rumours that Sata was ill had circulated widely before his death, but were always denied by the government.
Sata was Zambia's second leader to die in office in six years, sparking calls for presidential aspirants to undergo medical checks to guarantee they are fit.
Lungu, who fell after standing for some 20 minutes during the ceremony, is rumoured to have diabetes, the AFP news agency reported.
Presidential spokesman Amos Chanda said doctors at the military hospital had conducted comprehensive medical checks and said Lungu's results were good.
Source: AFP
tatizo la wazambia wanakula chakula cha aina moja tangu wanazaliwa mpk wanakufa ambacho ni nsima huku kwe2 tunaita ugali ndyo maana hawaishi kuumwa kila siku
Rais Edgar Lungu ana umri wa miaka 58, si kikongwe kama
wengi wanavyodhani. Amezaliwa mwaka 1956 November 11
Kuna tatizo kubwa hapo ikulu ya Zambia.
Zambia inatoaga maraisi wazee mno!?
Sijifunzi chochote ila naonelea kuwa viongozi wapime afya zao kabla ya kuingia madarakani![/QUOTE
Umenena mwanamke wa busara!!
Sasa tutafukuza wengi kwenye kugombea urais maana wengi ao ni maboksi tu ndani kila kitu nyang'anyang'a!!