Zambian President Edgar Lungu rushed to hospital after collapsing in capital

Hata hapa Tz wagombea urais wapimwe tu hamna jinsi
 
Na sisi inabidi wagombea wetu wapimwe si upinzani wala chama tawala!
 

[video=youtube_share;QFbQ08EHSo4]http://youtu.be/QFbQ08EHSo4[/video]
 
Na sisi inabidi wagombea wetu wapimwe si upinzani wala chama tawala!

Sasa tutafukuza wengi kwenye kugombea urais maana wengi ao ni maboksi tu ndani kila kitu nyang'anyang'a!!
 

Naona akina Rweyemamu wako wengi. Huyo msaidizi wake anadai jamaa kakutwa na Malaria lakini Lungu mwenyewe anadai ni fatigue. Sasa sijui mkweli ni yupi!! Prezidaa hana hata chandarua...duh.
 
katika uchunguzi zaidi wa afya ya Rais Lungu imegundulika kuwa anatatizo la kwenye koo na anahitajika afanyiwe upasuaji(operation) ambayo hawezi kufanyika nchini Zambia.

chanzo bbc news.
 
Rais Edgar Lungu ana umri wa miaka 58, si kikongwe kama
wengi wanavyodhani. Amezaliwa mwaka 1956 November 11

 
tatizo la wazambia wanakula chakula cha aina moja tangu wanazaliwa mpk wanakufa ambacho ni nsima huku kwe2 tunaita ugali ndyo maana hawaishi kuumwa kila siku

Kama ni hivyo nasi tungekuwa tunaumwa kila wakati.
 
Ikulu ya Zambia imejaa Wauwaji, Watu wanaoamini Wameishika nchi na Wako tayari kutetea Maslahi yao dhidi ya Tishio lolote.
Hao ndio wanaowaua Marais wanaojifanya makauzu!
 
Sasa tutafukuza wengi kwenye kugombea urais maana wengi ao ni maboksi tu ndani kila kitu nyang'anyang'a!!

Badala ya ile ambulance kuzunguka na msafara, ingekuwa inatoa huduma kwa watanzania wengi kuliko huyo mmoja tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…