ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya
Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani
Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na kukubali waamzi watakao kuwepo uwanjani
Leo siku ya mechi Zamalek walifata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kufika uwanjani
Baada ya dakika 15 za kusubiri timu pinzani (Ahly) kuisha,mwamzi akaashiria kuwapa Zamalek goli 3 na magoli 3
Hizo ndo FA zinazojielewa sio hawa wakwetu wanajibu post za Instagram