Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani?
Kwa akili hizi, ndio maana mashabiki wa Simba walikimbilia kung’oa viti kisa tu kuna mchezaji wao kafanyiwa faulo mbaya matokeo yake adhabu ya CAF ikawapata
 
Back
Top Bottom