Walisimamisha mechi kwa kanuni ipi? Au walishinikizwa na mgomo wa simba? Simba kama wanajitoa kwenye ligi, wasepe waende ligi ya zanzibar. Sio kutuletea utoto na kuwaingiza watu hasara kwa kuvimbiana na bodi ya ligi.Wenzenu marefa walienda uwanjani kwa maana bodi ya ligi yao ilikuwa inatambua kuwa mechi ipo.
Jopo zima la wahusika na wakaguzi wa mechi walikuwepo na ndio maana wamekuwa wafaidika wa kupewa hizo point 3.
Sasa nyie mmetangaziwa na bodi ya ligi kwamba hakuna mechi lakini kwa kiburi mkaamua kwenda.
Halafu mnatoka huko mnaanza kusumbua wataasisi eti mpewe point 3.
Kwanza bodi ya ligi haikupeleka wasimamizi, inathibitishaje kama kweli mlienda uwanjani?
Bodi ya ligi haiwezi kuthibitisha kuwa mlipoenda uwanjani Simba hawakuja kwasababu hakuna aliyeona.
Pre match meeting ndo mwanzo wa matchWenzenu marefa walienda uwanjani kwa maana bodi ya ligi yao ilikuwa inatambua kuwa mechi ipo.
Jopo zima la wahusika na wakaguzi wa mechi walikuwepo na ndio maana wamekuwa wafaidika wa kupewa hizo point 3.
Sasa nyie mmetangaziwa na bodi ya ligi kwamba hakuna mechi lakini kwa kiburi mkaamua kwenda.
Halafu mnatoka huko mnaanza kusumbua wataasisi eti mpewe point 3.
Kwanza bodi ya ligi haikupeleka wasimamizi, inathibitishaje kama kweli mlienda uwanjani?
Bodi ya ligi haiwezi kuthibitisha kuwa mlipoenda uwanjani Simba hawakuja kwasababu hakuna aliyeona.
Tanzania hakuna maamuzi hata baada ya kusubiri kamati ya masaa 72 ya mechi ambayo haikuchezwaAhly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya
Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani
Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na kukubali waamzi watakao kuwepo uwanjani
Leo siku ya mechi Zamalek walifata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kufika uwanjani
Baada ya dakika 15 za kusubiri timu pinzani (Ahly) kuisha,mwamzi akaashiria kuwapa Zamalek goli 3 na magoli 3
Hizo ndo FA zinazojielewa sio hawa wakwetu wanajibu post za Instagram
subiri Bodi ya ligi ipange tarehe halafu mkatae kwenda uwanjani uone kama Simba haitapewa alama tatuWalisimamisha mechi kwa kanuni ipi? Au walishinikizwa na mgomo wa simba? Simba kama wanajitoa kwenye ligi, wasepe waende ligi ya zanzibar. Sio kutuletea utoto na kuwaingiza watu hasara kwa kuvimbiana na bodi ya ligi.
Yaani watu waandae mchezo kwa gharama, alafu eti mijitu mizima igome kitoto kabisa kwasababu za kuokoteza jalalani!!! Haikubaliki hata kidogo.
Nasisitiza, hakuna derby nyingine msimu huu mpaka akili ziwakae sawa. Si mmezoea mbeleko, mtashushwa tu mgongoni mwa tff mbwa nyie
Kumbe hadi washitakiwe na safari hii ita wagharimu kwa kufanya maamuzi ya hovyo bila kutafsiri kanuni, mazoea hujenga tabiaTFF iache wizi itoe maamuzi kwa utoto walioufanya 5imba
Hujamuelewa mtoa mada. Kwetu sisi Tanzania, udwanzi unaanzia kwenye TFF, Bodi ya Ligi na kwa Viongozi wasiojielewa wa vilabu vyetu vya mpiraWenzenu marefa walienda uwanjani kwa maana bodi ya ligi yao ilikuwa inatambua kuwa mechi ipo.
Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani?Hujamuelewa mtoa mada. Kwetu sisi Tanzania, udwanzi unaanzia kwenye TFF, Bodi ya Ligi na kwa Viongozi wasiojielewa wa vilabu vyetu vya mpira
Kanuni zipo wazi. Ukinyimwa (allegedly) nafasi ya kufanya mazoezi uwanjani, kanuni imeelekeza nini kifanyike
Hakuna sehemu kanuni na muongozo wa ligi umesema kwamba timu ikizuiwa kufanya mazoezi itatoa “taarifa kwa Umma” na itishie kucheza match kwa muda uliopangwa. Ni aibu pia na fedheha kwa Bodi ya Ligi kukubali kupigwa mkwara na kutengua match iliyopangwa bila kufuata kanuni
Harafu kuna watu wanainua mafuvu na kusema eti “mbona Yanga iliwahi kukataa kucheza kipindi kile”? Listen, kipindi kile Yanga walisimama kwenye Kanuni.
Hii kitu haihitaji hata certificate ya VETA kuielewa
Acha kujitoa ufahamu,unadhani kunyimwa fursa ya kutumia uwanja ingetokea simba akafungwa goli la mchongo ingekuwaje,kungeweza kutokea hata vifoWalisimamisha mechi kwa kanuni ipi? Au walishinikizwa na mgomo wa simba? Simba kama wanajitoa kwenye ligi, wasepe waende ligi ya zanzibar. Sio kutuletea utoto na kuwaingiza watu hasara kwa kuvimbiana na bodi ya ligi.
Yaani watu waandae mchezo kwa gharama, alafu eti mijitu mizima igome kitoto kabisa kwasababu za kuokoteza jalalani!!! Haikubaliki hata kidogo.
Nasisitiza, hakuna derby nyingine msimu huu mpaka akili ziwakae sawa. Si mmezoea mbeleko, mtashushwa tu mgongoni mwa tff mbwa nyie
hakuna jeuri hiyo ninyi vyura mtakuja tu uwanjaniWalisimamisha mechi kwa kanuni ipi? Au walishinikizwa na mgomo wa simba? Simba kama wanajitoa kwenye ligi, wasepe waende ligi ya zanzibar. Sio kutuletea utoto na kuwaingiza watu hasara kwa kuvimbiana na bodi ya ligi.
Yaani watu waandae mchezo kwa gharama, alafu eti mijitu mizima igome kitoto kabisa kwasababu za kuokoteza jalalani!!! Haikubaliki hata kidogo.
Nasisitiza, hakuna derby nyingine msimu huu mpaka akili ziwakae sawa. Si mmezoea mbeleko, mtashushwa tu mgongoni mwa tff mbwa nyie
Pia na hatua nyingine sisi Utopolo tulikuwa wabunifu na tulijiongeza tukaenda hadi Mo Complex kesho yakePre match meeting ndo mwanzo wa match
Baada ya pre match meeting hakuna tena habari za kubadilisha match
Yanga hakuwa na taarifa za kuhairishwa mechi maana siku hiyo hakupewa taarifa official
Alifanya pre match meeting Kwa maana mechi ilianzia hatua hiyo
Hatua zingine ni kupeleka timu uwanjani ambapo bodi ya ligi wataeleza kwanini hawakuleta waamzi na timu pinzani
Simba ni timu ya kwanza kuzuiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi?Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani?
Wale Mabaunsa nani aliwatuma?Pre match meeting ndo mwanzo wa match
Baada ya pre match meeting hakuna tena habari za kubadilisha match
Yanga hakuwa na taarifa za kuhairishwa mechi maana siku hiyo hakupewa taarifa official
Alifanya pre match meeting Kwa maana mechi ilianzia hatua hiyo
Hatua zingine ni kupeleka timu uwanjani ambapo bodi ya ligi wataeleza kwanini hawakuleta waamzi na timu pinzani
Jibu swali langu kwanzaSimba ni timu ya kwanza kuzuiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi?