S Simba mundu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 767 Reaction score 1,058 Mar 12, 2025 #41 Sizinga said: Wale Mabaunsa nani aliwatuma? Click to expand... Mangungo
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Mar 12, 2025 #42 nusuhela said: Hakuna kanuni inayosema ukinyimwa uwanja ugome kupeleka timu uwanjani. Acheni janja janja Click to expand... Usikariri kanuni mlizoea uhuni na utoto simba wamenifurahisha
nusuhela said: Hakuna kanuni inayosema ukinyimwa uwanja ugome kupeleka timu uwanjani. Acheni janja janja Click to expand... Usikariri kanuni mlizoea uhuni na utoto simba wamenifurahisha
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Mar 12, 2025 #43 Godee jr said: Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani? Click to expand... Kwa akili hizi, ndio maana mashabiki wa Simba walikimbilia kung’oa viti kisa tu kuna mchezaji wao kafanyiwa faulo mbaya matokeo yake adhabu ya CAF ikawapata
Godee jr said: Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani? Click to expand... Kwa akili hizi, ndio maana mashabiki wa Simba walikimbilia kung’oa viti kisa tu kuna mchezaji wao kafanyiwa faulo mbaya matokeo yake adhabu ya CAF ikawapata
K Kumfumaster97 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2024 Posts 354 Reaction score 372 Mar 12, 2025 #44 nusuhela said: Muda utaamua ila sidhani kama itawezekana Click to expand... SSH
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 12, 2025 #45 Inapendeza... Cc: Mahondaw