Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Waswahili wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji ,na kwa hakika hawakukosea kabisaaa.
Hawa watani zetu wa jadi Simba SC walitucheka sana kipindi kile Manji alivyopata matatizo ambapo kwa kiasi kikubwa kuliathiri maendeleo ya timu yetu na kusababisha kukosa ubingwa.
Kipindi ambacho timu yetu ilikuwa inapitisha mara kwa mara bakuli la michango ili kusaidia maendeleo ya timu yetu.
Sasa kibao kimewageukia wapinzani wetu, wajiandae kisaikolojia kwa ukata utakaoanza muda sio mrefu ndani ya Club yao.