balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nawacheki tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mtu anafurahia hili lililomtokea MO basi mtu huyo ni mpumbavu!!!Daaa!!! Sio wewe tu ukipita mitaa mingi utakuta ndala wanafurahia sana kwa tukio lililotokea. Wameacha ubinadamu pembeni sasahiv wanaombea Simba iwe sawa na walivyo wao kiuchumi.
Naunga mkono hoja mkuuTukiombeana, njaa, kwa mtindo huu wa kuwateka wanasaodia vilabu, nchi haitakalika.
Jali utu wa mtu kwanza, sioni sababu Ya nyie kufurahia hali hii. Mo halionyesha njia kwenye soka letu, yeye alianza kupitia Simba, mwingine angefuata kupitia Yanga.
Alafu ya Manji yalikua nafuu, alikua anajulikana yupo wapi, sasa huyu hajulini, kama sababu ni hiyo bora mumlazimishe aachane na kuisaidia Simba, Mumuachie Uhai wake na uhuru wake.
Simba haijawai kuwa omba omba...
Nimepishana na manara hapa k'koo anaongea peke yake tena kwa hisia kali [emoji3]Nawasalimia watani zangu sembo , Ghazwat, Sapta Sapta. Japo kiukweli siombei iwe hivyo maana zile tambo zenu huwa zinatukunisha kichwa kwa kweli na ndio sababu inayofanya tujitahidi kufanya tunachokifanya sasa mbali ya kuwa timu yetu ni ya kupitisha mabakuli.
HahahaaaaaNimepishana na manara hapa k'koo anaongea peke yake tena kwa hisia kali [emoji3]
Mtani.. Salamu zako nimezipokea.Nawasalimia watani zangu sembo , Ghazwat, Sapta Sapta. Japo kiukweli siombei iwe hivyo maana zile tambo zenu huwa zinatukunisha kichwa kwa kweli na ndio sababu inayofanya tujitahidi kufanya tunachokifanya sasa mbali ya kuwa timu yetu ni ya kupitisha mabakuli.
Usijali Mtani. Jioni njema.[emoji23][emoji23][emoji23].. Zimefika Mtani.
Hahaha.. Mtani 20/10 Yanga atarejea dimbani kutafuta point 3.. Huku mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC tutakua Taifa Stadium 21/10 tukiiadhibu vilivyo timu ya Alex Kitenge, Stand United.Usijali Mtani. Jioni njema.
Ligi Kuu iendelee jamaani maana nimemiss nyuzi zako Mtani.
[emoji23][emoji23][emoji23].. Ni kweli Mkuu.simba taifa kubwa hapana mabakuli
Ewaaaaa. Afadhali mechi zianze Mtani.Hahaha.. Mtani 20/10 Yanga atarejea dimbani kutafuta point 3.. Huku mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC tutakua Taifa Stadium 21/10 tukiiadhibu vilivyo timu ya Alex Kitenge, Stand United.
Hahaha.. Mtani 20/10 Yanga atarejea dimbani kutafuta point 3.. Huku mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC tutakua Taifa Stadium 21/10 tukiiadhibu vilivyo timu ya Alex Kitenge, Stand United.
Hahaha.. Natahifadhi maneno yako. Nitarejea hapa 21/10 saa 12 jioni.Mtaadhibiwa tu, hakuna namna ya kukwepa kichapo Jumapili ya tar.21/10/2018. Mark my words.