Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haji Manara yupo, atawalipa mshahara akina Okwi na Kagere
Anayemlipa mpiga zumari ndio mchagua wimboHaji Manara yupo, atawalipa mshahara akina Okwi na Kagere
Adui muombee njaa.Daaa!!! Sio wewe tu ukipita mitaa mingi utakuta ndala wanafurahia sana kwa tukio lililotokea. Wameacha ubinadamu pembeni sasahiv wanaombea Simba iwe sawa na walivyo wao kiuchumi.
Sijaamini!! Yaani unafurahia jambo Hili?
Mkuu umeniwahi nilitaka kusema..Waswahili wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji ,na kwa hakika hawakukosea kabisaaa.
Hawa watani zetu wa jadi Simba SC walitucheka sana kipindi kile Manji alivyopata matatizo ambapo kwa kiasi kikubwa kuliathiri maendeleo ya timu yetu na kusababisha kukosa ubingwa.
Kipindi ambacho timu yetu ilikuwa inapitisha mara kwa mara bakuli la michango ili kusaidia maendeleo ya timu yetu.
Sasa kibao kimewageukia wapinzani wetu, wajiandae kisaikolojia kwa ukata utakaoanza muda sio mrefu ndani ya Club yao.
ndio maana mnakaa EDA ya ubingwa miaka mingi...May mwakani Yanga bingwa tena...hata akirudi Mo ile jeuri ya pesa itaisha kama Manji tu...Simba haijawai kuwa omba omba...
Tukiombeana, njaa, kwa mtindo huu wa kuwateka wanasaodia vilabu, nchi haitakalika.Adui muombee njaa.
Simba haijawai kuwa omba omba...