Zamu ya kupeleka maumivu na kilio kwao imetaradadi

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika.

Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua sana, tukawaachia. Miye sijui, walahi.

Na bado mjipange haswa, amani hatutakubali muivuruge.

Oktoba ya Mama imetaradadi.
 
Hizi ni bange za wapi?
Unataka huyo mama yako auliwe ndipo ufurahi?
Sasa unataka achukue kwa nguvu mitano, ili aue waTanzania msiowataka nyinyi?

Unakaa chini unaanza kufurahia mipango ya kishetani namna hii, wewe ni shetani?

Hawa watu mnaopanga kuwaua; watakaa tu hapo wakisubiri muwaue. Nyinyi huu uwezo wa kujipangia kuua wengine mmepewa na nani huyo shetani anayewavuruga vichwa vyenu?

Naona unatamani sana kuiona Sudan au Somalia ikishamiri sana hapa Tanzania.

Kwa taarifa yako, Samia hatapata nafasi hiyo ya kuivuruga nchi hii.
 
Na bado! Nyie watu mmezoea sana. Mmeshikwa pabaya
 
Hapa sasa nimeanza kuelewa, kuna vita baridi mbili.

Vita ya kisiasa ( Wanaharakati wa CHADEMA vs SAMIA & CCM)

Vita ya dini ( Waislamu na Wakristo like kulipa kisasi ile ya Mkapa na Samia alisema yupo tayari kwa lolote kwahiyo waandamanaji mjipange, SMG zitanyooshwa bila kuwaza)
 
ya mkapa wale ilikuwa ni wahalifu wa kidini ilibidi waadhibiwe palepale. Hii ya samia ni muziki mnene, ni multipurpose
 
Hapa sasa nimeanza kuelewa, kuna vita baridi mbili.

Vita ya kisiasa ( Wanaharakati wa CHADEMA vs SAMIA & CCM)

Vita ya dini ( Waislamu na Wakristo like kulipa kisasi ile ya Mkapa na Samia alisema yupo tayari kwa lolote kwahiyo waandamanaji mjipange, SMG zitanyooshwa bila kuwaza)

Hata sisi hatutawaza. Wao pia wanafamilia. Moto kwa moto tuu
 
Mnadeal na watu ambao hata wao wanshangaa mbona wanaotakiwa mdeal nao mnawadharau kumbe ndo wenye madhara
 
Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika.

Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua sana, tukawaachia. Miye sijui, walahi.

Na bado mjipange haswa, amani hatutakubali muivuruge.

Oktoba ya Mama imetaradadi.
Sawa Wanu.
 
Back
Top Bottom