October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hizi ni bange za wapi?Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika.
Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua sana, tukawaachia. Miye sijui, walahi.
Na bado mjipange haswa, amani hatutakubali muivuruge.
Oktoba ya Mama imetaradadi.
Hizi ni bange za wapi?
Unataka huyo mama yako auliwe ndipo ufurahi?
Sasa unataka achukue kwa nguvu mitano, ili aue waTanzania msiowataka nyinyi?
Unakaa chini unaanza kufurahia mipango ya kishetani namna hii, wewe ni shetani?
Hawa watu mnaopanga kuwaua; watakaa tu hapo wakisubiri muwaue. Nyinyi huu uwezo wa kujipangia kuua wengine mmepewa na nani huyo shetani anayewavuruga vichwa vyenu?
Naona unatamani sana kuiona Sudan au Somalia ikishamiri sana hapa Tanzania.
Kwa taarifa yako, Samia hatapata nafasi hiyo ya kuivuruga nchi hii.
Mikwara inazidi kuwa mingi na haijulikani kama ni kweli au ni zuga tu
Maandamano ya kuongozwa Desmond Tutu hayawezi kuzuiwa.
Yaani mnateka Padri kampeni zikiendelea Kisha mbaki salama!
Tusubiri
Hapana uchawi wala uganga juu ya Israel.Endeleeni. Tupo kuwaponza
Hapana uchawi wala uganga juu ya Israel.
Tunguli haliezi kuwapa kushinda dhidi yetu.
Na bado.
ya mkapa wale ilikuwa ni wahalifu wa kidini ilibidi waadhibiwe palepale. Hii ya samia ni muziki mnene, ni multipurposeHapa sasa nimeanza kuelewa, kuna vita baridi mbili.
Vita ya kisiasa ( Wanaharakati wa CHADEMA vs SAMIA & CCM)
Vita ya dini ( Waislamu na Wakristo like kulipa kisasi ile ya Mkapa na Samia alisema yupo tayari kwa lolote kwahiyo waandamanaji mjipange, SMG zitanyooshwa bila kuwaza)
Hapa sasa nimeanza kuelewa, kuna vita baridi mbili.
Vita ya kisiasa ( Wanaharakati wa CHADEMA vs SAMIA & CCM)
Vita ya dini ( Waislamu na Wakristo like kulipa kisasi ile ya Mkapa na Samia alisema yupo tayari kwa lolote kwahiyo waandamanaji mjipange, SMG zitanyooshwa bila kuwaza)
Na badoMnadeal na watu ambao hata wao wanshangaa mbona wanaotakiwa mdeal nao mnawadharau kumbe ndo wenye madhara
Sawa Wanu.Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika.
Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua sana, tukawaachia. Miye sijui, walahi.
Na bado mjipange haswa, amani hatutakubali muivuruge.
Oktoba ya Mama imetaradadi.
Na badoSawa Wanu.
Huku kwetu tunakaza sauti mkuu. Unalegeza sanaNa bado
Huku kwetu tunakaza sauti mkuu. Unalegeza sana
Maandamano ya kuongozwa Desmond Tutu hayawezi kuzuiwa.
Yaani mnateka Padri kampeni zikiendelea Kisha mbaki salama!
Tusubiri