Tetesi: Zamu ya Muhongo kuumbuka

Muhongo ni mzuri kiutendaji ila kwa upande wa utawala sijui wala hapendi kuandikwa kwenye magazeti sasa hizo front Page unazosema sijawahi kumwona akiandikwa kwa mazuri zaidi tuhuma mbalimbali ila kiujumla Muhongo namkubali
Hasa magazeti ya Nipashe na Mwanahalisi
 
Umaandika kimajungu sana..bila shaka umetumwa na mzee mapua aka mzee wa kupenda ndogondogo
 
Majungu hayawezi kuikomboa nchi hii kutoka kwenye umasikini. Kwenye mitandao watu wanazirusha picha za mbuga na vivutio vya utalii, ili watalii waje kwa wingi na tupate fedha nyingi za kigeni, mleta mada unaweza kusaidia katika shughuli hiyo, kuliko kuhangaika na Muhongo na wizara yake. Yule mzee wa ITV bado anawatumieni bila ya nyinyi kukaa chini na kufikiria ni mpaka lini mtaendelea kutumika kwa maslahi ya biashara zake!!?.
 
Wewe mleta mada mburula hayo majungu hayatakusaidia. Pole kwa kutumbuliwa pale wizarani
 
Jipu lililotumbuka na tuhuma zako za kitoto hutafika popote popoma wewe
 
Muhongo ni mzuri kiutendaji ila kwa upande wa utawala sijui wala hapendi kuandikwa kwenye magazeti sasa hizo front Page unazosema sijawahi kumwona akiandikwa kwa mazuri zaidi tuhuma mbalimbali ila kiujumla Muhongo namkubali
Majungu yake hajayapanga vizur teh teh
 
Pole sana mzee unaonekana una hasiraaaaaaaaaa. Hebu tuambie ni mkutano upi wa wananchi uliomkataa muhongo hahhhahhha ila hata mimi ningekuwa wewe ningekuwa na hasira hivi.CHEZEA KUZIBIWA MIRIJA WEWE😎😎😎
 
Wajameni watu waliongea ya Ombeni akatumia ofisi kuliambia gazeti litoe kauli etc tukasema kwa nini asijetetee mwenyewe less than a week kikawaka so hata muhongo it's just the matter of time. kama si kweli na yote wanayomtuhumu mbona hajitetei tuuone ukweli!!!?
 
Kwa taarifa yako muhongo hana uwezo wa kutumbua mtu . Labda wale wafagiaji wa pale wizarani na watu wadogo wadogo. Hutaki? Kaulize!
Aaaa bwana acha hizo.ina maana weye unacheo kikubwa cha kuzadharau wafagiaji na watu wadogo wadogo.hii ina onesha hauna maana kabisa ktk hiyo wizara.
Kama hujui thamani ya makalio jaribu kukalia kichwa.
 
Poor referencing Sefue ilikuwa lazima ang'oke kwa kuwa utendaji wake ulikuw na udhaifu,point ni kuwa alieleta mada hajatoa hoja yoyote yenye mashiko kukosoa utendaji wa Muhongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…