Tetesi: Zamu ya Muhongo kuumbuka

Tetesi: Zamu ya Muhongo kuumbuka

Muhongo ni mzuri kiutendaji ila kwa upande wa utawala sijui wala hapendi kuandikwa kwenye magazeti sasa hizo front Page unazosema sijawahi kumwona akiandikwa kwa mazuri zaidi tuhuma mbalimbali ila kiujumla Muhongo namkubali
Hasa magazeti ya Nipashe na Mwanahalisi
 
Umaandika kimajungu sana..bila shaka umetumwa na mzee mapua aka mzee wa kupenda ndogondogo
 
Majungu hayawezi kuikomboa nchi hii kutoka kwenye umasikini. Kwenye mitandao watu wanazirusha picha za mbuga na vivutio vya utalii, ili watalii waje kwa wingi na tupate fedha nyingi za kigeni, mleta mada unaweza kusaidia katika shughuli hiyo, kuliko kuhangaika na Muhongo na wizara yake. Yule mzee wa ITV bado anawatumieni bila ya nyinyi kukaa chini na kufikiria ni mpaka lini mtaendelea kutumika kwa maslahi ya biashara zake!!?.
 
Wewe mleta mada mburula hayo majungu hayatakusaidia. Pole kwa kutumbuliwa pale wizarani
 
WanaJamii,

Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.

1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba

2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.

3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.

Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.

Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.

Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"

Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.

Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.

Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.

Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.

Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
Jipu lililotumbuka na tuhuma zako za kitoto hutafika popote popoma wewe
 
Muhongo ni mzuri kiutendaji ila kwa upande wa utawala sijui wala hapendi kuandikwa kwenye magazeti sasa hizo front Page unazosema sijawahi kumwona akiandikwa kwa mazuri zaidi tuhuma mbalimbali ila kiujumla Muhongo namkubali
Majungu yake hajayapanga vizur teh teh
 
Hivi Magu alikuwa na ajenda gani kumrudisha huyo Muhongo aliyekataliwa na wananchi? The most arrogant figure, corrupt and a liar, rejected by wananchi bungeni akajuizulu then akarudishwa nafasi ile ile. Shamefull. Now according to the karma laws, the most affected person is the one who went against wishes of the majority souls. He will eventually axe him but he will have proved to himself that he has actually became a surgeon of his own boil. (jipu). This will prove to him that he is not serious sometimes. According to his philosophy he will have contradicted himself in deed, hence psychological effect. kwa kiswahili ni kwamba atajisikia kujitumbua mwenyewe kwa hiyo atapata mfadhaiko, roho itamsuta kwa kutosikliza sauti wa wengi a.k.a sauti ya Mungu..
Pole sana mzee unaonekana una hasiraaaaaaaaaa. Hebu tuambie ni mkutano upi wa wananchi uliomkataa muhongo hahhhahhha ila hata mimi ningekuwa wewe ningekuwa na hasira hivi.CHEZEA KUZIBIWA MIRIJA WEWE😎😎😎
 
Kweli haya ni majungu. We huoni hata aibu kusema pumba hizo hapa? Muhongo we wala usihangaike nae bora uache maana hakuna atakayechochea na JPM akamsikiliza. Hivi unafikiri JPM hajui utendaji wa Muhongo? Acha hizi rafiki tafuta story nyingine ulete hapa. Umbeya hausaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wajameni watu waliongea ya Ombeni akatumia ofisi kuliambia gazeti litoe kauli etc tukasema kwa nini asijetetee mwenyewe less than a week kikawaka so hata muhongo it's just the matter of time. kama si kweli na yote wanayomtuhumu mbona hajitetei tuuone ukweli!!!?
 
Kwa taarifa yako muhongo hana uwezo wa kutumbua mtu . Labda wale wafagiaji wa pale wizarani na watu wadogo wadogo. Hutaki? Kaulize!
Aaaa bwana acha hizo.ina maana weye unacheo kikubwa cha kuzadharau wafagiaji na watu wadogo wadogo.hii ina onesha hauna maana kabisa ktk hiyo wizara.
Kama hujui thamani ya makalio jaribu kukalia kichwa.
 
Wajameni watu waliongea ya Ombeni akatumia ofisi kuliambia gazeti litoe kauli etc tukasema kwa nini asijetetee mwenyewe less than a week kikawaka so hata muhongo it's just the matter of time. kama si kweli na yote wanayomtuhumu mbona hajitetei tuuone ukweli!!!?
Poor referencing Sefue ilikuwa lazima ang'oke kwa kuwa utendaji wake ulikuw na udhaifu,point ni kuwa alieleta mada hajatoa hoja yoyote yenye mashiko kukosoa utendaji wa Muhongo
 
Back
Top Bottom