Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ZAMU YA NANI KESHO?
Zamu ya MAnfongo...
Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu.
Kilango... Kapita
Sefue... Kapita
Likwelile... Kapita
Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
NshasemaGa mie muziki aina ya mchiriku, mnanda, mduara sijui Pamoja na tanzu zake kama singeli una nguvu usipime!!!
Nakutakieni maadhimisho mema ya tarehe Tanganyika ilipopata uhuru.