Zamu ya nani kesho?

Zamu ya nani kesho?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
ZAMU YA NANI KESHO?
Zamu ya MAnfongo...
Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu.
Kilango... Kapita
Sefue... Kapita
Likwelile... Kapita
Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
NshasemaGa mie muziki aina ya mchiriku, mnanda, mduara sijui Pamoja na tanzu zake kama singeli una nguvu usipime!!!
Nakutakieni maadhimisho mema ya tarehe Tanganyika ilipopata uhuru.
 
pogba katika kuwafurahisha mashabiki baada ya ukame wa muda mrefu ameamua apigwe hata milingoti
 
Mimi sijaelewa bandiko lako linahusu nini mkuu, unaweza nifafanulia?
 
ZAMU YA NANI KESHO?
Zamu ya MAnfongo...
Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu.
Kilango... Kapita
Sefue... Kapita
Likwelile... Kapita
Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
NshasemaGa mie muziki aina ya mchiriku, mnanda, mduara sijui Pamoja na tanzu zake kama singeli una nguvu usipime!!!
Nakutakieni maadhimisho mema ya tarehe Tanganyika ilipopata uhuru.
Kila mmoja ataisoma [emoji648] kwa wakati wake
 
ZAMU YA NANI KESHO?
Zamu ya MAnfongo...
Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu.
Kilango... Kapita
Sefue... Kapita
Likwelile... Kapita
Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
NshasemaGa mie muziki aina ya mchiriku, mnanda, mduara sijui Pamoja na tanzu zake kama singeli una nguvu usipime!!!
Nakutakieni maadhimisho mema ya tarehe Tanganyika ilipopata uhuru.
Hivi yule waziri wa awamu ya nne yule aliekuwa waziri asie na kazi maalum hivi saa hivi yukogo wapi
 
Back
Top Bottom