Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Linatukumbusha kuwa cheo ni dhamana, nothing lasts foreverMimi sijaelewa bandiko lako linahusu nini mkuu, unaweza nifafanulia?
Kila mmoja ataisoma [emoji648] kwa wakati wakeZAMU YA NANI KESHO?
Zamu ya MAnfongo...
Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu.
Kilango... Kapita
Sefue... Kapita
Likwelile... Kapita
Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
NshasemaGa mie muziki aina ya mchiriku, mnanda, mduara sijui Pamoja na tanzu zake kama singeli una nguvu usipime!!!
Nakutakieni maadhimisho mema ya tarehe Tanganyika ilipopata uhuru.
Hivi yule waziri wa awamu ya nne yule aliekuwa waziri asie na kazi maalum hivi saa hivi yukogo wapiZAMU YA NANI KESHO?