Zana muhimu kunako Mgao wa Umeme

Uvumbuzi wa vyombo hivi ulifanyika mwaka gani?Nafikiri tunaishi miaka 200 nyuma ya wenzetu wa nchi za ulimwengu wa kwanza kama wanavyojiita wao
 
mkuu bila hiyo makitu, mbona mbu na mijasho itakufanya usilale kabisa.......wewe unatumbukiza nyagi kwa mwili, ukiingia kitandani unashtuka asubuhi!
 
hongera kwa kuvumbua...............lakini kuingizw kwenye guiness book usahau
 
Hiyo imenukumbusha nikiwa kijiji cha Matare Singida tulikua tunachakachua mafuta ya taa na dizeli ili mafuta yasiishe haraka ila mijimoshi na mwanga mwekundu ndio matokeo yake
 
Hiyo imenukumbusha nikiwa kijiji cha Matare Singida tulikua tunachakachua mafuta ya taa na dizeli ili mafuta yasiishe haraka ila mijimoshi na mwanga mwekundu ndio matokeo yake

kwa hyo chupa hapo pembeni wala uhitaji mwanga mkali sana bwana jane ni jane!
\
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…