Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Mandhari home uswazi nyakati za jioni tunaposubiria umeme urudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvumbuzi wa vyombo hivi ulifanyika mwaka gani?Nafikiri tunaishi miaka 200 nyuma ya wenzetu wa nchi za ulimwengu wa kwanza kama wanavyojiita wao
Hiyo imenukumbusha nikiwa kijiji cha Matare Singida tulikua tunachakachua mafuta ya taa na dizeli ili mafuta yasiishe haraka ila mijimoshi na mwanga mwekundu ndio matokeo yake
Hapa umenikumbusha kwetu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana ndugu yangu, kule kwetu ndio chakula cha asili jamani, thanx much