ZANACO special thread.

ZANACO special thread.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia
Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani tushangilie timu yetu..

Mungu ibariki zanaco fc.
 
Mtoa mada nadhani ni Matopeni fc sio bure
 
Sawa siyo mbaya kuwa shabiki wa zanako ila nitajie wachachezaji wanne wa timu yako ya zanako
 
Naona leo wauza ngada wanapata dose kutokana na uzito wao
Team zanaco
 
Mpka sasa goli ni 1-0 yanga wanaongoza japo hali ni mbaya sana kwa upande wao..mpira ni mapumziko...
 
Simba bhana....ha ha ha haaaa,mrudi matopeni tukiwafunga mabwana zenu
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza wachezaji wa timu zote wako uwanjani
 
Yanga wanapga sana kiatu hii game..
 
Back
Top Bottom