Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Hakuna watu tunawanyimaga usingizi km wamatopeni wanahaha sana wakitusikia vijana wa intaneshinali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia
Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani tushangilie timu yetu..
Mungu ibariki zanaco fc.
Ndala mwisho bafuni...Hakuna watu tunawanyimaga usingizi km wamatopeni wanahaha sana wakitusikia vijana wa intaneshinali
Ikibidi hadi chumbani huingia yakheee!!Ndala mwisho bafuni...
Na kweli imebidi tuwahurumie ili kunususuru aibu hapo nyumbani kwao,Yanga wanatia huruma
Haya yanaitwa mapenzi mubashara na mikiaHuu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia
Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani tushangilie timu yetu..
Mungu ibariki zanaco fc.