Zantel High Life Club SUCKS

Mimi nimeamua leo kuihama rasmi Zantel!! Hadi hapo hii policy yao itakapobadilika!! Mnipe updates wakirudi kama zamani!!

mkuu umehamia wapi na mimi nikufuate
 

Customer care nimegombana nao asubuhi....hao ni kuwaacha tu kama walivyokuwa zamani...na kama huko tunakokwenda huduma ni nzuri na hakuna mizengwe kama yao basi ndio kimoja....this really stinks!!!!!!
 
haya ya Zantel yamenikuta sasa hivi ..... naombeni ushauri lukuki niondoke zantel...yaani wanakulazimisha recharge simcard yako na uzitumie ndani ya wiki moja n..bora wange ongeza bei ya bundle

Pole mkuu, biashara ya watu ambao ni wavivu kufikiria, this is what normally happen hawa ndugu wakiwa in charge.
 
Marketing department and Finance department za kampuni za simu hazifanyi kazi zaidi ya kudevelp lottery business model. Nilipofanya interview 2009 na Zain niliwaambia walio ni interview you guys are losing money. Na hii ni exactly case, vijana wengi wabongo ambao wapo kwenye hizi department ni wavivu wa kufikiri.

Na ili hizi kampuni zipate watu washindani lazima waache upuuzi wa kusema tutakupa 3 million mshara. That doesn't make sense, competitive candidate kwenye hii dunia anataka mshara plus profit sharing mwisho wa mwaka. That is the only way watapata business developer who will bring good products to Tanzania community and good return to Investors. Zama za mishara bila compasation ya equity zimekwisha.
 
Mkuu hapa sio marketing department au Finance Department bali ni Common Sense Department.....

You dont need to be a Genious or have a Degree from Harvard, kujua kwamba unachemka ukiforce 15,000 a week for 2 GB wakati competitor wako anatoa 3GB for the same amount alafu anaruhusu kuongezea package nyingine ikiisha before deadline haijaisha wakati wewe hauruhusu its just the basic business skills ambazo hata muuza nyanya anatumia
 
Yaani nadhani bundle yangu inakaribia kuisha kumbe ngoja nijiandae kwa disapointments..lol' sh#$## hawa zantel.. Kwanza unajua mi nliponunua line ya zantel ilikua mainly kwa ajili ya internet lakin nikaanza kuiweka online mara moja moja nikagundua ilikua cheap kidogo kuongea na watu wa nje na mitandao mingine.. lakin bei za mitandao mingine pia nw zimepungua sana, ila mbaya zaidi ambacho zantel hawajui hwa wapumbav wa mawazo ni kwamba ukiingia highlife huwez ku-access other promotions za kawaida kama za msg na kupiga kwa bei nafuu' at the end of the day highlife inakua very very expensive kuliko mitandao mengine yoooote tanzania!! watu wenye line zenye highlife wanajua kwamba highlife ni expensive ndo mana hawazitumii hizo line'

Zantel km kweli wana akili watumie advantage kwamba wateja wa internet wanasaidia watu kununua line za zantel sasa waweke competitive prices kwa hawa wateja wa highlife ili waanze kuona kutumia line ya highlife ni cheap kwa sababu watu wengi wana line hawatumii coz ni expensive.. sasa kwa kuongeza gharama kwenye bundle indirectly hawa jamaa wanafeli!! na mtaniambia watakua na wateja wangapi wa internet mpaka mwaka uishe!!

Ni hayo tu!!
 

Unajua haya makampuni pamoja na management yao wote ni mazuzu wakishauriwa na wajinga wa finance and marketing department.

Angalia kwa mfano, makampuni yote ya simu ukiachana na zantel, hakuna kampuni yeyote ambayo in R&D departments, na ndio chanzo cha matatizo kwa haya makapuni ya simu yanapofikiria bila kushirikisha ubongo.

Marketing team, ndio wanaopendekeza new products, na kwa hili la zantel wameshirikisha makalio kufikiri badala ya bongo zao na Management walivyokuwa mazuzu nao waka adopt hii kuwa policy, nonsense!
 
It is now high time kuanza online campaign kuwashikisha hawa ndugu adabu kuwalazimisha customers kwenye voice call instead of internet.ni mara mia wangepandisha bei ya bundle kulikoni kufanya huu ushenzi.

Wasipojirekebisha ndani ya siku tatu zijanzo nitaanzisha blog,facebook page na twitter ya kuwa ponda mpaka washike adabu.

Nyambaaaf
 

i conquer ... nimetafuta e-mail adress kwenye website yao ili nitume maoni yangu sijaona ...
 
Kuna hii kitu inaitwa "Who cares" as long as someone is pocketing his salary at the end of the month wana muda gani wakuanza kufikiria matatizo ya wateja wao au queries zinazoletwa no one is responsible, no one is taking actions hatuna critical thinking ya kuweza kutatua matatizo ya wateja everyone is on his own doing what he/she think is right.
 

I meant, Zantel is not an exception
 
Countdown.....zimebaki siku mbili nianzishe massive campaign kwenye social networks against Zantel move screwing up her customers...

MPAKA KIELEWEKE NA ADHABU WASHIKE...NYAMBAAF
 
Countdown.....zimebaki siku mbili nianzishe massive campaign kwenye social networks against Zantel move screwing up her customers...

MPAKA KIELEWEKE NA ADHABU WASHIKE...NYAMBAAF

mkuu... humu JF hawa jamaa hawaingii .... tutafute e-mail yao halafu tuwatumie warning ya kuwachemsha

vigezo ni vingi ... kwanza wameanzisha package na kutuingiza kwenye mkataba nao bila agreement ya terms and conditions... pili wameanzisha system mpya katikati ya mkataba bila kutoa notice....
 

Nimeshatoa taarifa TCRA to act on the matter firmly and decisively

Nani kakwambia?Wameshapata taarifa na wanatembelea sana tu.

they screw us we screw them even more...

Mpaka kesho kutwa kama sijapata notice yeyote, i will do the campaign at my own pleasure and i know we will get support from their competitors and that is natural.

This time mpaka watie akili na tutawafikia wateja wote ambao wanatumia internet na ikibidi nitaweka ad kwenye facebook and I am ready to pay USD 100 kwa paypal kwa ajili ya hiyo advert.
 

ahasante mkuu
 
Nimeingia Tz juzi usiku, kwa kuwa modem yangu ilikuwa na pesa ya kutosha; nilipotaka kujiunga highlife nikakumbana na ujumbe wa kwamba sijatumia zaidi ya sh. 5,000/= kwa voice calls ndani ya siku saba zilizopita. Ikabidi nianze kutafuta hiyo elfu tano, na baadaye nikawa napiga simu kila sehemu kama kichaa ili iishe. Kweli inaudhi.
 
Labda tungekuwa na vyama vya watumiaji wa huduma fulani. Tukikuta huyu anazingua wanachama wenzetu tunafanya kampeni ya ku boycott huduma husika, hapa nikizungumzia hawa ISPs.
 


the same to me but not for highlife it is Plan ZRegular 250MB weekly.
 

Ina maana you have to do that every week.Instead of paying 40,000 you will be paying 60,000
 
Labda tungekuwa na vyama vya watumiaji wa huduma fulani. Tukikuta huyu anazingua wanachama wenzetu tunafanya kampeni ya ku boycott huduma husika, hapa nikizungumzia hawa ISPs.

Humu humu panatosha, tunatoa nje kidogo tu kwenye facebook na blogs wewe utasikilizia moto wake.

Lazima watie akili.

The good thing is, network ya wanaotumia Zantel wote wako kwenye facebook.So when you put an ad kwenye facebook it reaches them all, here I mean more than 200,000 Tanzanians on facebook, young and old.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…