Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Sasa naamini wengi watakuwa na access ya mtandao zaidi kwa Bongo.

Modem ya Zantel ni Tshs 150,000/= na ya Zain ni Tshs 60,000/=

Zantel:

Monthly
2GB - 10,000/=
8GB - 50,000/=

ZAIN:

Weekly 3GB - Tshs 15,000/=

Monthly 8GB - Tshs 70,000/=

Quarterly 24GB - Tshs 200,000/=

Yearly 96GB - Tshs 750,000/=

Nadhani tunaelekea kuzuri, wengi wataweza kumudu matumizi ya internet
 
invisible naomba nikuulize swali la kitaalamu kidogo.....

kama natumia net kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku......
nitahitaji gb ngapi kwa mwezi.......
matumizi ya kawaida bila downloading....
ni ku surf tu..........
 
Asante kwa hili, naomba tusaidie, kwa mfano mimi hupenda kushinda kwenye mtandao, just to read, sio kudownload wala nini, just to read, nifafanulie mathalani hiyo 2 GB inaweza kuniwezesha kudumu humu JF kwa muda gani?.

Pia hutumia huduma ya blackbery ya voda kwa post paid, monthly subscription ni 36,000/= na gharama za post paid ni 15,000/= jumla 51,000/= kabla sijapiga simu yoyote wala kutembelea mtandandao, nikijiunga na hizi offer, will they mean anything to me?.
 
Pasco na The Boss,

Almost mmeuliza swali linaendana tu... Huduma ya BlackBerry ningekushauri utumie ya Zain, internet yao iko fit (japo iliyumba kwa siku moja ama mbili hivi) na ni 35,000. Services unazopata ni zaidi ya browsing ya internet mkuu!

Ukinunua modem say ya Zantel (Tshs ya 150,000/= ila nasikia nao watapunguza bei za modem pia) au hata ya Zain kwa Tshs 60,000/= basi ukiweka 2GB au 3GB inakutosha kwa mwezi. Bahati mbaya Zain hawajaifanya hiyo 3GB kuwa monthly.

Ukweli 8GB kwa surfing ya pages tu ni kubwa SANA. 2GB kwa normal user ambaye anasoma email bila ku-download torrents au kudownload movies na music online basi inamtosheleza kabisa. So far, speed zao hawa wote ni nzuri kwa modem zao
 
Mie hapa natumia 1GB kwa mwezi inatosha kabisa bila dowloading ya mafile makubwa.
 
Yap 1GB inatosha kabisa kutozima JF kwa mwezi mzima, ingawa 2GB inakuruhusu hata kudownload muziki na some files kwa kujiachia
 
Mie hapa natumia 1GB kwa mwezi inatosha kabisa bila dowloading ya mafile makubwa.
Kwa maana hiyo hata The Boss ameshaona kuwa Tshs 10,000 ana enjoy JF the whole month pamoja na kupakua files kadhaa mtandaoni
 
invisible naomba nikuulize swali la kitaalamu kidogo.....

kama natumia net kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku......
nitahitaji gb ngapi kwa mwezi.......
matumizi ya kawaida bila downloading....
ni ku surf tu..........

Nami naunga mkono, 2GB inatosheleza surfing ya kawaida kwa mwezi ukiwa hu-download mafile makubwa makubwa.
 
Sorry ngoja ni bwake kidogo kupunguza hasira , ina ni bore sana kusikia eti ku surf bila ku download , hii inanipa imani ya hawa ISP kuwa na imani ya kutugawia hivyo viji GB kutucharge bei kubwa wakidhani wote ni tuna surf tuu, basi wafanye na TV iwe tunalipia kwa saa dayymn! sorry guys na hasira kwasababu na shindwa kukesha kwenye youtube sababu ya hivi viji GB uchwara . TUNACHOTAKA NENO AFFORDABLE UNLIMITED Service sio viji GB .
 
Vodacom Unlimited 30 days =30,000/- Spidi ya kusoma websites and not much more.

Leo pale Namanga nimeona bango nadhani ni la Zain linasema unlimited 70,000/=
 
Vodacom Unlimited 30 days =30,000/- Spidi ya kusoma websites and not much more.

Leo pale Namanga nimeona bango nadhani ni la Zain linasema unlimited 70,000/=

Wasikudanganye hawana Unlimited ni wanakupa hizo 8GB , huu wizi wa kuto kua clear kwenye matangazo, wana singizia lugha ya kibiashara , wizi wa mcho macho, mbaka sasa kidogo ambao wako affordable kwa unlimited ni TTCL ingawa its so painful ukiwa una watch vidoes online iko slow kiasi speed yake, nalipa Sh 110,000 a month.
 
Sasa naamini wengi watakuwa na access ya mtandao zaidi kwa Bongo.

Modem ya Zantel ni Tshs 150,000/= na ya Zain ni Tshs 60,000/=

Zantel:

Monthly
2GB - 10,000/=
8GB - 50,000/=

ZAIN:

Weekly 3GB - Tshs 15,000/=

Monthly 8GB - Tshs 70,000/=

Quarterly 24GB - Tshs 200,000/=

Yearly 96GB - Tshs 750,000/=

Nadhani tunaelekea kuzuri, wengi wataweza kumudu matumizi ya internet

Thanks Mkuu kwa habari njema!

Nina ka swali kadogo! nahitaji kutumia wireless nyumbani kwangu ( yaaani simu iphone , desktop, laptop na simu tya mke wangu) Hitaji langu ni kwamba, ninunue router ya aina gani ambayo inaweza kufanya kazi mazingira ya kibongo bongo na aina ya service tulizo nazo!
Thanks
 
I know Sasatel has a wireless router that does the job. But a little experiment with an access point and TTCL modem has also worked for us. But you need some sort of DHCP server to be running somewhere. CISCO/Vyatta expert can expand on this subject. I just try and error till something works.
 
Hizo ni gharama za mortgage au mkopo wa gari? uwiiiiiiiiii
 
Aaah! kweli watz tunaibiwa! mimi natumia wireless kwa mwezi nalipia TSH,40,000
computer yangu ni marufuku kuzimwa 24 hrs niko kwa net. ebu angalia masaa 19 ya liyopita nimetumia MB ngapi bila kudownload.
 
invisible naomba nikuulize swali la kitaalamu kidogo.....

kama natumia net kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku......
nitahitaji gb ngapi kwa mwezi.......
matumizi ya kawaida bila downloading....
ni ku surf tu..........

Nenda hii wesite uingize estimated variables zako unaweza kujua matumizi yako kwa mwezi
Bandwidth Calculator | Web User

Mfano kama
How many hours of web surfing per month ? =168p hrs = 2520 MB
How many high-quality photos sent/received? =12 photo =12 Mb
How many emails sent/received (without attachments)? =268 Emails =1.40 Mb ( Post/ comments za jf pia ni email)
Nk

Kwa hiyo kutumia net kwa masaa 15 huwezi jua utajua kama. nenda hiyo web ingiwa ni ajili ya broadband. Ukiingiza variablesza matumizi yako zinazoendana na ukweli wa mazingira yako itakupa picha kiasi.

Kwa analysis ya haraka haraka 1 GB na 2 GB more than enough kwa watumiaji wengi > na bado zitakuwezesha kucheki video za you tube, unaweza kudowload file chache na kutuma na kusoma email na mitandao kibao.
 
Wasikudanganye hawana Unlimited ni wanakupa hizo 8GB , huu wizi wa kuto kua clear kwenye matangazo, wana singizia lugha ya kibiashara , wizi wa mcho macho, mbaka sasa kidogo ambao wako affordable kwa unlimited ni TTCL ingawa its so painful ukiwa una watch vidoes online iko slow kiasi speed yake, nalipa Sh 110,000 a month.

Unlimited mbona zipo mjini. Kuna ISPs wengi mjini wanauza unlimited downloads/uploads na huja na Dedicated speeds kulingana na budget yako.

Mfano:
Ninatumia ~2GB/Day. Speed yangu ni dedicated (meaning its not shared with other customers). Youtube, ninaangalia vizuri tuu. Lakini nipo kwenye corporate plan = i.e. More $||TZS zaidi ya > 110,000/month.

Sasa kwasababu sio kila mtu ni malaika. Wengine wakipata unlimited basi wanataka kudownload internet nzima siku hiyo hiyo.. Wengine movies ili wakauze , wenginee...(wacha nikianza sitamaliza)..etc etc. Sasa kama unashare speed na huyo jamaa basi wateja wengine wanaumia. Kwahiyo , its only fair yeye alipe zaidi ili apewe link yake mwenyewe na haki yake (kudownload anavyotaka).

Kwa ufupi ukitaka unlimited utapata....swali ni, What's your budget ?

B.P (2010)
 
Back
Top Bottom