invisible naomba nikuulize swali la kitaalamu kidogo.....
kama natumia net kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku......
nitahitaji gb ngapi kwa mwezi.......
matumizi ya kawaida bila downloading....
ni ku surf tu..........
Wakubwa, hii modem ya Zain inaweza kutumika mtandao wa Zantel na Voda?Modem ya Zantel ni Tshs 150,000/= na ya Zain ni Tshs 60,000/=
Vodacom Unlimited 30 days =30,000/- Spidi ya kusoma websites and not much more.
Leo pale Namanga nimeona bango nadhani ni la Zain linasema unlimited 70,000/=
Sasa naamini wengi watakuwa na access ya mtandao zaidi kwa Bongo.
Modem ya Zantel ni Tshs 150,000/= na ya Zain ni Tshs 60,000/=
Zantel:
Monthly
2GB - 10,000/=
8GB - 50,000/=
ZAIN:
Weekly 3GB - Tshs 15,000/=
Monthly 8GB - Tshs 70,000/=
Quarterly 24GB - Tshs 200,000/=
Yearly 96GB - Tshs 750,000/=
Nadhani tunaelekea kuzuri, wengi wataweza kumudu matumizi ya internet
Nina ka swali kadogo! nahitaji kutumia wireless nyumbani kwangu ( yaaani simu iphone , desktop, laptop na simu tya mke wangu) Hitaji langu ni kwamba, ninunue router ya aina gani ambayo inaweza kufanya kazi mazingira ya kibongo bongo na aina ya service tulizo nazo!
Thanks
invisible naomba nikuulize swali la kitaalamu kidogo.....
kama natumia net kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku......
nitahitaji gb ngapi kwa mwezi.......
matumizi ya kawaida bila downloading....
ni ku surf tu..........
Wasikudanganye hawana Unlimited ni wanakupa hizo 8GB , huu wizi wa kuto kua clear kwenye matangazo, wana singizia lugha ya kibiashara , wizi wa mcho macho, mbaka sasa kidogo ambao wako affordable kwa unlimited ni TTCL ingawa its so painful ukiwa una watch vidoes online iko slow kiasi speed yake, nalipa Sh 110,000 a month.