Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine.
Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi.
CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka?
View: https://youtu.be/EWxmq0dTUUk?si=sXMIJSyuf-1D-Z00