ZANU PF walimdhibiti Mwenyekiti wao Mugabe dakika za jioniiii. Je CCM wataweza?

CCM wangeanza kumsimamisha uanachama Jakaya Mrisho Kikwete kwanza maana huyu ndiye kivuruge, anakenua kenua huku anakiumiza chama.
 
Halafu ukaenda kwa Mnananga ambaye hataki kuachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…