Zanzibar acheni ujanja ujanja huyu Halaand wenu lookman ni zaidi ya miaka 20 na sio miaka 15

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Haya mashindano ya chini ya miaka 15 ni ya kijinga sijui ni kwa faida ya nani?

Timu nyingi zimepeleka vijana zaidi ya miaka 18 huku vyeti vyao vikisoma miaka 14 Hadi 15.

Huyu Halaand wa unguja ni zaidi ya kijeba lakin tunaambiwa ni chini ya miaka 15 huu ni upuuzi.

Zanzibar pongezi kwa kuchukua ndoo dhidi ya Uganda ila huyu kijana aliepiga penalt ya ushindi ni kijeba sana!
 
Picha tafadhali
 
Lete pikture aka foto...
 
Mimi nazipongeza timu zote zilizotolewa mapema kwenye hayo mashindano. Maana kwa imani yangu, hizo ndiyo zitakuwa zilipeleka wachezaji wenye umri sahihi.
 
Ameandika huku akiwa ana kimbizwa na Halaand mwenyewe. Subirini akamatwe
πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜­
Umenichekesha mno maana nimejenga taswira akilini jamaa yetu wa JF yuko mbele nduki kama Usain bolt akikimbizwa huku anahema na nyuma yake yuko mpemba Haaland ana rungu kubwa kafura kwa hasira za kuharibiwa jina lake na kumwagwa msosi wake wa ugali na sukari!
 
Picha
 
Waafrica wamelaanika, Nashindwa kufahamu inakuaje tunapeleka watu wazima kwenye mashindanano ya vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…