je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Haya mashindano ya chini ya miaka 15 ni ya kijinga sijui ni kwa faida ya nani?
Timu nyingi zimepeleka vijana zaidi ya miaka 18 huku vyeti vyao vikisoma miaka 14 Hadi 15.
Huyu Halaand wa unguja ni zaidi ya kijeba lakin tunaambiwa ni chini ya miaka 15 huu ni upuuzi.
Zanzibar pongezi kwa kuchukua ndoo dhidi ya Uganda ila huyu kijana aliepiga penalt ya ushindi ni kijeba sana!