Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka wabadilike
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi, ACP Elisante Mmari amesema kuwa Mwanamke huyo alijirekodi video hiyo Oktoba 15, 2022, majira ya saa 8:38 Mchana, na kusema kuwa Upelelezk wa shauri hilo umekamilika na mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kesho Oktoba 18, 2022
Chanzo: EATV