Zanzibar: Ashikiliwa kwa kujirekodi akiwatolea Lugha ya Maudhi Wazanzibari

Tangu uliposema "sijawahi kuupenda uislaam hata kidogo"... Ndio nitarajie utasema jema kuhusu uislaam...

Alafu kwa kuongea hivyo tukuamini... Wewe ni muongo... Na wakristo uongo sio dhambi...
 
Zanzibar hakuna ushoga...Acheni upotoshaji.
Tanzania mikoa inayoongoza kwa ushoga ni ile ya wakristo wengi kama
1.Mbeya
2.Mwanza(mashoga sana)
3.Mara
4.Shinyanga
5.Kagera (mashoga sana)
6.Simiyu

Mikoa ambayo hakuna ushoga kabisa ni ile ambayo ina waislam wengi kama
1.Dar
2.Tanga
3.Zanzibar
4.Pwani
Hii mikoa hata kupata dem akupe tigo haiwezekani kabisa
 
ww ni muongo hiyo ni story umejitungia tu....acha utoto
 
Wakiambiwa ukweli wanajifanya kuwaweka watu ndani?!
 
Mwenye akili amekuelewa vizuri sana hapa [emoji847]
 
Elizabeth amejaa chuki kifuani mwake dhidi ya watu wala hawana time nae ...kwa nn uwe unashambuliwa watu kwa meneno waache na tabia zao.
Zanzibar Kila Jambo baya utasikia ni kutoka bara.

Juzi wamekamata panya road 16 pia wamesema ni kutoka bara

Dada zetu wa bara ndy wanaonekana ni malaya sn huko

Lakini ukwl ni kwamba dada zao ndy wameoza kabisa ..

Tena mbele na nyuma.

Waache kuonea watu wa bara waishio huko

Dada kaongea ukwl mtupu,,
 
Polisi wa hii nchi wanakosa shuhuli za kufanya kwa kweli, badala ya kupambana na wakabaji mitaani wanaanza ku deal ni mipasho ya Tiktok, aibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…