Zanzibar: Askari wanne wa SMZ na maofisa 3 wa Idara ya Misitu mbaroni kwa mauaji ya Katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu

Ccm wameanza kijitekenye na kucheka wenyewe
 
Ndio maana Sheria ukisema usiandamane, ukaenda, kinacho kupata ni halali yako
Kuandamana ni haki ya kila raia kikatiba

Kupiga raia wasio na silaha ni uvunjifu wa haki za Binaadamu kikatiba..

Soma katiba yako uifahamu..

Hivi vitisho tunavyopata nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, ikiwemo Tanzania inatokana na malezi tuliyopata kutoka kwa wazazi wetu

Umafurahia kuwa mtu akiandamana apigwe au auawe..

kwasababu hayo ndio malezi uliyopata kutoka kwa wazee Wako ..

kama hukumtii mkubwa wako lazima uazibiwe, hakuna dialogue,hakuna kukaa mezani mkajadili mambo..

Mbona nchi nyengine watu waandamana hawauli wala kuvunjwa miguu??

Those kind of shit only happens in the shit hole Countries,sub Saharan countries,sub human Countries..

Tafakari
 
Wakiona kijana wanajua huyu anaweza kuwa mpinzani tandika risasi huyo hamna kesi hapo!
 
Toka lini yakawa makweli_yanapenda damu za wapinzani sana
 
Aibu kubwa mno...nchi yetu inaaibika kimataifa.
 
Huu ni uwongo,eti vijana wakabeba mapanga wakawazuia polisi,kijana gani asiye na akili kiasi hicho ,halafu wakasema ,halafu mbona kwenye taarifa zao wanasema katibu wa ACT-wazalendo alikimbia akacha mkokoteni sasa alipigwaje risasi,halafu kwanini asipigwe aliyeshika panga,kwanini? vijana walioshika mapanga wasishikwe?
 
sasa mbona hiyo haioneshi hata mtu mmoja alieshika panga.
 
Waache maagizo waeleze wapi alipo Nassoro Mazrui na Kama ana makosa apelekwe mahakamani na wahakikishe Yuko hai .
 
Waache maagizo waeleze wapi alipo Nassoro Mazrui na Kama ana makosa apelekwe mahakamani na wahakikishe Yuko hai .
 
Damu za watu si za kufanyia maigizo, naamini muda umefika hawa mashetani kutubu
 
Imetungwa ikatungika
 
Hamna kitu hapo hayo ni maigizo, hii ni case ya ICC
 
Naona kama hakuna kesi vile.
So far hakuna uhusiano wa yeye kuwa ACT wazalendo na kukamatwa na mkokoteni wa mchanga.
Technical mistake ni pale askari walipovamiwa na kundi la watu, hii inaweza kuwaondoa askari hatiani
 
Taarifa Mbona Inazunguuka Haisemi Kwa Majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…