Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huo unaanza Novemba 3
View attachment 1618777
Itakuwa alisaidia vizuri kuiba kura
 
El6K9YfXIAI5ucv.jpeg

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.

Mfahamu Dkt. Mwinyi Talib Haji zaidi:
 
Safi sana. Aanze kuchapa Kazi. Ninaamini ataleta Amani Zanzibar. Ana busara sana Hussein Mwinyi
 
Hongera sana Mwanasheria ,

kweli Hakuna aijuae Kesho yake

Siku kama ya leo Wiki Iliyopita Mbowe akiwa anamaliza kampeni zake Hai alisema amebakisha Masaa machache kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania akiashiria Polisi wasimchukulie Poa kwani Lissu atashinda Urais na kumpa yeye u Mizengo pinda,

wiki moja baadae ( leo) yupo Nyuma ya Nondo akiomba dhamana polisi kwa jaribio la kulipua vituo vya kuuzia Fuel
 
Ulivyoeleza kama vile ni jambo la maaaana, sasa ngoja fimbo kutoka kwa wapinzani wako.
 
Back
Top Bottom