Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Huenda naye aliwekwa tu hata hajui. Kama tusikiayo ni kweli basi jua lazima mrithi awe ni mtu mwoga ambaye hawataweza kukusulubuš¤£š¤£š¤£š¤£š©Angekuwa na busara asingekubali urais uliopatokana kwa hila, mateso na mauaji ya watu! Hana busara kabisa!