Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

Itakuwa alisaidia vizuri kuiba kura
 
Safi sana. Aanze kuchapa Kazi. Ninaamini ataleta Amani Zanzibar. Ana busara sana Hussein Mwinyi
 
Hongera sana Mwanasheria ,

kweli Hakuna aijuae Kesho yake


Siku kama ya leo Wiki Iliyopita Mbowe akiwa anamaliza kampeni zake Hai alisema amebakisha Masaa machache kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania akiashiria Polisi wasimchukulie Poa kwani Lissu atashinda Urais na kumpa yeye u Mizengo pinda,

wiki moja baadae ( leo) yupo Nyuma ya Nondo akiomba dhamana polisi kwa jaribio la kulipua vituo vya kuuzia Fuel
 
Ulivyoeleza kama vile ni jambo la maaaana, sasa ngoja fimbo kutoka kwa wapinzani wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…