Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

Angekuwa na busara asingekubali urais uliopatokana kwa hila, mateso na mauaji ya watu! Hana busara kabisa!
Huenda naye aliwekwa tu hata hajui. Kama tusikiayo ni kweli basi jua lazima mrithi awe ni mtu mwoga ambaye hawataweza kukusulubu🤣🤣🤣🤣😩
 
Mbona umekaa kimbea sana mama
 
Ila Zanzibar bwana. Yaani kanchi kadogo kweli. Hivi kwanini kasingekuwa kanaongozwa na mkuu wa mkoa tu.
 
Safi sana. Aanze kuchapa Kazi. Ninaamini ataleta Amani Zanzibar. Ana busara sana Hussein Mwinyi
Huu ushindi wa kuua watu hizo busara mbona haukuzitumia ili wazanzibar wasiuliwe ?
 
Huu ushindi wa kuua watu hizo busara mbona haukuzitumia ili wazanzibar wasiuliwe ?
Mambo ya Muungano ni magumu na unajua Mainland ndiyo wanaushikilia kwa gharama yoyote Ile. Hivyo inawezekana hata hahusiki
 
Badala ya Uwaziri mkuu sasa kapata Uwaziri Mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…