Zanzibar enzi hizo

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Posts
4,191
Reaction score
677
NAAM TUJIKUMBUSHE ENZI HIZO ZA MIAKA NENDA


NAAM HAPA ZANZIBAR IKIWA NA GARI MOSHI MIAKA YA 1900 NA KENDA, JAPO NYMBA ZAO FULL SUIT






NAAM MASHINDANO YA NGARAWA YAKIFANYIKA FORODHANI, ENZI HIZO VIJANA WESHAPATA MUHOGO WA KUPWAZA MAMBO YANASONGA MBELE




Zanzibar Hotel ndani enzi hizo
 
Aaaaaaaah! Kama si nani hii na Muungano. Zanzibar leo ingekuwa kama ulaya vile. nakwambia ndugu yangu wakati huo wazenj wanapanda Treni Tanganyika kizaaaa! wakati huo ni lubega na kaptura tu!:becky:. leo Zanzibar ni mkoa katika mikoa ya Tanganyika. Ah maskini Zenj!!!!:eyeroll2:.
 
naam tukiendelea na kujikumbusha enzi hizo tamu



naam gari la moshi likikata mbuga miaka hio



soko (Marikiti kama wenyewe tunavyoita) la mboga mboga



naam sokoni kwa mbele miaka mingi tu iliopita linavyoonekana





na hii ndio mahakama kuu (high Court)


naaam nnaaamini wako wanokumbuka enzi hizo
 
naam tuendelee kuosha macho na jinsi mambo ya wakati huo yalivyokuwa










leo nnataka kusikia toka kwenu comments za hizi picha
 
naam naona sijapata wa kunifafanulia na kuzungumza nae kwenye picha hizi

hata hivyo wacha niendeleee kuzileta na asaa watatokea wachangiaji katika habari na picha

tuisome historia yetu




















 
Hapo mkuu hakuna wakuongea, wakati huo Tanganyika kizaaa! Nakwambia wakatio huo Tanganyika ni kaptura na soksi mpaka magotini
Kwa hiyo sasa hivi nyie ndo KAPTURA NA SOKSI..........??? AU misuli.........??? Na ndiyo maana mnasimamisha kampeni kwa sababu za kidini wakati nchi siyo ya KISHARIA.......
 

Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere saa hizi ungekuwa historia na umefukiwa katika makaburi ya halaiki weye, umekatwakatwa kwa visu na majambia.
 
Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere saa hizi ungekuwa historia na umefukiwa katika makaburi ya halaiki weye, umekatwakatwa kwa visu na majambia.
Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere kutaifisha shule za kikristu.........mngebaki na madrasa zenu
 
Na vilevile lazima ukumbuke kuwa zanzibar hiyo hiyo unayotuwekea mapicha yake hapa ilikuwa nchi ya ubwana na utwana na naomba ujiulize hali yako ilikuwa ni ipi si wewe bali waliokutangulia kv babu bibi n k kama walikuwa mamwinyi basi kufai katika jamii kwa kukumbuka mifumo kandamizi ya maisha na kama hao watangulizi wako walikuwa watwana basi inabidi upimwe akili yako kwa kukumbuka maisha ya ujakazi.Na naomba ukumbuke kuwa ni baba yenu karume aliyetaka muungano ili kulinda mapinduzi na si Mwalimu kama mnavyohubiri na Mwalimu alisema wazi katika hotuba yake kuwa kama angekuwa na uwezo basi visiwa vyenu angevisukuma mbali kabisa baharini maana alisema mtakuja kutusumbua sana huko mbeleni na wala hakukosea kweli wewe na akili zako unaweza kukumbuka usultani?
 
Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere kutaifisha shule za kikristu.........mngebaki na madrasa zenu

Wacha wee! hebu lete data za idadi ya wasomi Wazenji kulinganisha na bara mnamo mwaka 1964! Wakati huo huyo mvaa kaptura alikuwa hana influence huko. Na ni shule gani ya kikristu aliyoitaifisha Zanzibar? Lete data please!
 

Babu na bibi yako walikuwa wanafanya nini nao enzi hizo? Hata kuvaa nguo walikuwa wanajua bwana weee? Hebu wacha kuleta mambo ya kizamani yasiyokuwa na mantiki.

Kwa vile hamna picha za kuonyesha wakati wa enzi hizo ndio iwe nongwa! Picha zinabaki kama kumbukumbu ya historia, lakini tuseme enzi zile wenzetu hebu jaribu kusoma kile kitabu cha Safari za Mwinyi Mtoro.
 

Bitimkongwe hebu tuambie weye ni asili ya bara au una damu ya kiarabu?
Utuambie ili tujue bahasha ya kukuweka.
 

We babu yangu alikuwa mwindaji wakati huo tena akitumia gobole sio mishale na alikuwa na nguo nzuri tu kwa wakati wake na picha ninazo.hata kina mkwawa walikuwa na migolole yao na picha zipo.Na ukija kwenye historia hilo wala sio tatizo tatizo ni jinsi nyie mnaojiita wamanga koko kuunganisha matatizo yenu na muungano bila kujiangalia jinsi mlivyojaa chuki na visasi na muushukuru muungano bila ya huo Taliban na Al Qaeda wangepiga kambi na nyie mungekuwa mnalazimishwa kujitoa muhanga kama waafghanistani kila siku.Na wewe naomba usome kitabu cha kasri la mwinyi Fuad
 
naaaaam naona mjadala umekuwa moto

hii ni zanzibar enzi hizo, na kila kitu kina pande mbili njema na mabaya sasa wacha tutafakari hizi picha na kutaja ni maeneo gani kwa anaekumbuka na hao akina nani, na matukio yepi yaliokua yakifanyika na mwaka gani na ww unakumbuka vp enzi hizo













 
Mtu wa Pwani mie Zanzibar sio mwenyeji kwa sana maana nimefika mara mbili tu miaka ya nyuma lakini nadhani hizo picha zitakuwa ni maeneo ya mji mkongwe.Ninayemtaka mimi ni huyu anayesema historia ,anaijua kweli historia huyu na kama anaijua historia naomba nimuulize .Ni sababu gani Dkt Gharib Bilal aliposhindwa kinyanganyiro cha urais wa Zanzibar alinyimwa hata ukatibu kata na kuachwa ajizeekee mpaka alipokuja kuibuliwa upya na JK.Na kwa mtaji huo mtaendeleza nchi huku mkiwa bado na fikra za namna hiyo .
 

Tafuta Point za kuongea usirIpokwe..! Nawashauri wazenji jiungeni na OIC! kuna mafanikio makubwa ukiwa umoja ule kushinda umoja na TANGANYIKA!
 
Tafuta Point za kuongea usirIpokwe..! Nawashauri wazenji jiungeni na OIC! kuna mafanikio makubwa ukiwa umoja ule kushinda umoja na TANGANYIKA!

Mimi na wewe nani anayeongea point na anayeropoka .Si nimeuliza swali hapo mbona hujanijibu umekimbilia kuropoka.Na kwa taarifa yako hao unaowashauri wajiunge na OIC wakikusikiliza watakuwa na akili kama zako maana tunazijua nchi nyingi tu zilizo OIC na ziko hoi pengine kupita hata Zanzibar.Tazama Guinee Conakry,Somalia,Sudan,Mauritania,Mali,na nyingine nyingi tu ambazo ziko OIC zina nini cha maana kutuzidi zaidi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.Acheni chuki,fanyeni kazi kwa bidii muijenge nchi yenu .Nchi hata siku moja haiendelei kutokana na misaada ya OIC.Huo ni umbumbumbu na uvivu wa kufikiri.Na ukirudi njoo na hoja sio kusema watu wanaropoka wakati wewe hata la kuongea huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…