Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam tuendelee kuosha macho na jinsi mambo ya wakati huo yalivyokuwa
View attachment 13588
View attachment 13589
View attachment 13590
leo nnataka kusikia toka kwenu comments za hizi picha
Kwa hiyo sasa hivi nyie ndo KAPTURA NA SOKSI..........??? AU misuli.........??? Na ndiyo maana mnasimamisha kampeni kwa sababu za kidini wakati nchi siyo ya KISHARIA.......Hapo mkuu hakuna wakuongea, wakati huo Tanganyika kizaaa! Nakwambia wakatio huo Tanganyika ni kaptura na soksi mpaka magotini
Aaaaaaaah! Kama si nani hii na Muungano. Zanzibar leo ingekuwa kama ulaya vile. nakwambia ndugu yangu wakati huo wazenj wanapanda Treni Tanganyika kizaaaa! wakati huo ni lubega na kaptura tu!:becky:. leo Zanzibar ni mkoa katika mikoa ya Tanganyika. Ah maskini Zenj!!!!:eyeroll2:.
Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere kutaifisha shule za kikristu.........mngebaki na madrasa zenuIsingekuwa mvaa kaptura Nyerere saa hizi ungekuwa historia na umefukiwa katika makaburi ya halaiki weye, umekatwakatwa kwa visu na majambia.
Isingekuwa mvaa kaptura Nyerere kutaifisha shule za kikristu.........mngebaki na madrasa zenu
Na vilevile lazima ukumbuke kuwa zanzibar hiyo hiyo unayotuwekea mapicha yake hapa ilikuwa nchi ya ubwana na utwana na naomba ujiulize hali yako ilikuwa ni ipi si wewe bali waliokutangulia kv babu bibi n k kama walikuwa mamwinyi basi kufai katika jamii kwa kukumbuka mifumo kandamizi ya maisha na kama hao watangulizi wako walikuwa watwana basi inabidi upimwe akili yako kwa kukumbuka maisha ya ujakazi.Na naomba ukumbuke kuwa ni baba yenu karume aliyetaka muungano ili kulinda mapinduzi na si Mwalimu kama mnavyohubiri na Mwalimu alisema wazi katika hotuba yake kuwa kama angekuwa na uwezo basi visiwa vyenu angevisukuma mbali kabisa baharini maana alisema mtakuja kutusumbua sana huko mbeleni na wala hakukosea kweli wewe na akili zako unaweza kukumbuka usultani?
Babu na bibi yako walikuwa wanafanya nini nao enzi hizo? Hata kuvaa nguo walikuwa wanajua bwana weee? Hebu wacha kuleta mambo ya kizamani yasiyokuwa na mantiki.
Kwa vile hamna picha za kuonyesha wakati wa enzi hizo ndio iwe nongwa! Picha zinabaki kama kumbukumbu ya historia, lakini tuseme enzi zile wenzetu hebu jaribu kusoma kile kitabu cha Safari za Mwinyi Mtoro.
Bitimkongwe hebu tuambie weye ni asili ya bara au una damu ya kiarabu?
Utuambie ili tujue bahasha ya kukuweka.
Babu na bibi yako walikuwa wanafanya nini nao enzi hizo? Hata kuvaa nguo walikuwa wanajua bwana weee? Hebu wacha kuleta mambo ya kizamani yasiyokuwa na mantiki.
Kwa vile hamna picha za kuonyesha wakati wa enzi hizo ndio iwe nongwa! Picha zinabaki kama kumbukumbu ya historia, lakini tuseme enzi zile wenzetu hebu jaribu kusoma kile kitabu cha Safari za Mwinyi Mtoro.
Mtu wa Pwani mie Zanzibar sio mwenyeji kwa sana maana nimefika mara mbili tu miaka ya nyuma lakini nadhani hizo picha zitakuwa ni maeneo ya mji mkongwe.Ninayemtaka mimi ni huyu anayesema historia ,anaijua kweli historia huyu na kama anaijua historia naomba nimuulize .Ni sababu gani Dkt Gharib Bilal aliposhindwa kinyanganyiro cha urais wa Zanzibar alinyimwa hata ukatibu kata na kuachwa ajizeekee mpaka alipokuja kuibuliwa upya na JK.Na kwa mtaji huo mtaendeleza nchi huku mkiwa bado na fikra za namna hiyo .
Tafuta Point za kuongea usirIpokwe..! Nawashauri wazenji jiungeni na OIC! kuna mafanikio makubwa ukiwa umoja ule kushinda umoja na TANGANYIKA!