Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu wewe umefanya nini? Timiza wajibu wako kwa taifaChadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Si kweliChadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Ni Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuumboe niraisi wanchi Gani Hadi ahutubie taifa mkuu?
Kwani nchi hii kwa sasa ina rais?mboe niraisi wanchi Gani Hadi ahutubie taifa mkuu?
Swali makini .Kwani nchi hii kwa sasa ina rais?
niraisi au nimwamba?Ni Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu
Joined Thursday , hebu endelea kukomaa ili upate uzoefuniraisi au nimwamba?
hebu kuwa wazii
kabla sijakujibu naomba nikuulize upo nchigani kwanza?Kwani nchi hii kwa sasa ina rais?
jibu maswali kenge wewe acha kurukaruka.Joined Thursday , hebu endelea kukomaa ili upate uzoemaswa
Matusi ya kizamani yanaonyesha wazi ulivyo mgeni , Karibu sanajibu maswali kenge wewe acha kurukaruka.
Naomba sana mjaribu kusikiliza ushauri wetu hii approach mnayotumia na matendo ya CCM inaonesha wazi siyo effective. I may even go further and say wakina Mwabukusi, Mdude, Dr. Slaa, TEC, Maria Sarungi na yule mchungaji wa Mbeya wamefanya kazi kubwa kudai haki za wananchi waoga wa Tanzania kuliko nyie. CCM siyo watu wamaridhiano historia kupitia Zanzibar imedhihirisha hivyo hata wakishindwa kwa kura nyingi kama ilivyotokea kwa Sharif bado watatumia nguvu kubaki madarakani mtaweza kuwashinda tu kupitia civil disobedience na huwezi kufanya hivyo kama viongozi wenu wanashindwa hata kuamsha watu 5000 watoto nje kuandamana.Si kweli
Muulize mmeo kwanzakabla sijakujibu naomba nikuulize upo nchigani kwanza?
Yaani wee jamaa wewe eti Ustadh Abubakar Mbowe wakati mbowe ni mgalatia! Mweee!Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .
Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .
View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
hilotaifa analo hutubia mboe labda nitaifa lako namumeo sio hili latanzania ambalo mwenye haki yakulihutubia kwasasa ni Rais SamiaMatusi ya kizamani yanaonyesha wazi ulivyo mgeni , Karibu sana
Kwa mtazamo wako Mbowe wajibu wake ni nini kama Mwenyekiti wa Chadema?Mkuu wewe umefanya nini? Timiza wajibu wako kwa taifa