Kiwi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 1,054
- 991
Hata sasa,elimu ya Secondary si suala la muungano
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi. Sijawahi kulifuatilia suala hilo kwa muda mrefu sikuwa na hakika na ukweli wa hali ya sasa. Ndiyo sababu nikarudi kwenye miaka ambayo nilikuwa ninaikumbuka kwa hakika.