Kiwi JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 1,054 Reaction score 991 Feb 24, 2014 #41 Myakubanga said: Hata sasa,elimu ya Secondary si suala la muungano Click to expand... Shukrani mkuu kwa ufafanuzi. Sijawahi kulifuatilia suala hilo kwa muda mrefu sikuwa na hakika na ukweli wa hali ya sasa. Ndiyo sababu nikarudi kwenye miaka ambayo nilikuwa ninaikumbuka kwa hakika.
Myakubanga said: Hata sasa,elimu ya Secondary si suala la muungano Click to expand... Shukrani mkuu kwa ufafanuzi. Sijawahi kulifuatilia suala hilo kwa muda mrefu sikuwa na hakika na ukweli wa hali ya sasa. Ndiyo sababu nikarudi kwenye miaka ambayo nilikuwa ninaikumbuka kwa hakika.